Julius Mtatiro,tunahitaji msimamo wako kuhusu muswaada huu.

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
nimekuwa nafuatilia mjadala usio na maslahi na taifa unaendeshwa na wabunge wa CCM kwa interest ya chama chao,
kwa kuutambua mchango wako ktk harakati za kupigania haki,tunahitaji kufahamu kitu kimoja tu hapa,je,msimamo wako ni kama wa wabunge wa chama chako kama tunavyoona michango yao huko bungeni?

Umekuwa ukipinga kwa nguvu zote chama chako kuitwa CCM B,huoni sasa hali inavyojidhihirisha wazi huko bungeni ktk mjadala unaoendelea?



Nawasilisha wakuu!
 
Back
Top Bottom