Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Inasemekana Julius Malema ni mkereketwa mkubwa wa Jacob Zuma na mtu asiyeogopa athari za kiongozi kutamka chochote unachojisikia kutamka.Simjui vizuri yeye ni nani, lakini matukio ya hivi karibuni ya South Africa especially lile la kuuwawa kwa kiongozi wa white supremacy zimenifanya nijiulize huyu bwana ni nani, na nini tunaweza kujifunza kutoka kwake kama kiongozi wa wing ya vijana wa ANC.
Au naye anaandaa tatizo la usoni la South Africa bila kujua?
Au naye anaandaa tatizo la usoni la South Africa bila kujua?