jukwaa la siasa mbona update ya topics inachelewa sana

mdawa

Senior Member
Oct 29, 2010
104
37
Nimekuwa nafuatilia topics za jukwaa la siasa kwenye mobile phone internet naona kuna very big lag of time. Kwa mfano saa hizi karibu saa mbili jioni lakini last update ni saa mbili asubuhi. Tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom