Jua lipo karibu, mwezi upo mbali kidogo na nyota zipo mbali sana kutoka usawa wa bahari

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Ukweli upo hivi, jua lipo umbali wa maelfu ya futi chache kutoka usawa bahari ndio maana lina miale mikali kama moto, mwezi upo umbali wa malaki ya futi kutoka usawa wa bahari ndio maana miale yake ya mwanga ni hafifu na sio mikali kama ya jua, na nyota zipo mbali zaidi na zaidi umbali wa malaki kwa malaki ya futi toka zilipo jua na mwezi na ndio maana zinaonekana kwa mbali zikiwa ni ndogo ndogo kama tochi, ila wachunguzi wanasema kuwa nyota zina umbile kubwa zaidi ya jua na mwezi, ndio maana siku zote wanasayansi ufanya safari za mwezini kwa kuwa sio mbali sana kufika lakini hawawezi kuzifikia nyota kwani zipo mbali saaana hazifikiki.
 
Unatakiwa ujue kwamba jua pia ni nyota, halafu tulisoma mwezi huakisi mwanga wa jua ila ngoja wajuzi waje
 
Daaaaaaaaah aisee..! Eti miale ya mwezi, jamaniiiiiiiii. Mwezi unatoa mwanga......!!!!??????😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Teh teh teh

Hii thread ni Full vituko,Jamaaaaani..!
Ningependa kuwepo na section ya Jamii comedy kwa kweli.

"'Umbali wa maelfu ya Futi chache"..hehehe!chache tena?
Tangu lini umbali wa Extra-terrestrial Bodies ukapimwa na Futi?wenzako wanatumia Light years

"Nyota ziko malaki na malaki ya Futi"'Loh,Futi inatumika kwenye kuchimba visima.

Kutoka usawa wa Bahari?dah..

Pamoja K 4,Tumia likizo yako vizuri usisikirize Majungu ya watu

teh teh teh.Jaaaamani.Raha sana.
 
Back
Top Bottom