Jua kali!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Hali halisi. Kijua cha saa sita mchana na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania. Kudaadadeki!

622464_10151044995738145_1991407900_o.jpg
 
Hali halisi. Kijua cha saa sita mchana na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania. Kudaadadeki!

622464_10151044995738145_1991407900_o.jpg
Mkuu Askari Kanzu Tanzania ndivyo ilivyo hivyo? Kumechoka namna hivyo jamani? Sisi WaTanzania hatuna Viongozi wa nchi wanaoipenda nchi yao jamani? Mabarabara mabovu mji unanuka maji safi hakuna hakuna umeme ahhhh tutafika kweli jamani?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa hapo ni Tz, nimeshindwa kupata plate numbers za hayo magari. Hata hivyo, daladala za miji mingi kama si yote Tz zina onesha ziendako na hazina rangi moja achilia mbali rangi NYEKUNDU!!!!!! Kama ni airtel basi ujue nchi nyingi Africa zinatumia mtandao wa Airtel. Leteni uthibitisho tusilaumu tuuuuuuu. INGAWA najua hapa tz mambo yanaweza kuwa mabaya sana kuliko haya!!!!!
 
Back
Top Bottom