Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

Nadhani hapa busara itatumika. Kama mpaka ni ufukwe wa ziwa Nyasa upande wa Tanganyika, mbona Malawi haijawahi kuweka kituo cha uhamiaji kama ilivyo Namanga kati ya Kenya na Tanzania? Huyu mama nadhani ni mtu wa busara, tusubiri tuone.

Ingemtokea puani!
 
Nina walakini na busara zake, ana maamuzi ya kukulupuka.....nimeona namna alivyowashughulikia uongozi uliomtangulia wa the late Prof. Bingu, naona kisasi na utemi zaidi vimemjaa cdhani kama ana hiyo busara unayoifikiri ila atakua kahofia mziki wa TZ. Inawezekana vp boda iwe ufukweni? yani kwa upande wa Tz ukikanyaga maji tu ushaingia kwa wanyasa....inawezekana vipi hii? thats bullshit.
 
Busara zinaanza kugonga hodi... Jimama linaanza kuonja joto ya urais!
 
Nina walakini na busara zake, ana maamuzi ya kukulupuka.....nimeona namna alivyowashughulikia uongozi uliomtangulia wa the late Prof. Bingu, naona kisasi na utemi zaidi vimemjaa cdhani kama ana hiyo busara unayoifikiri ila atakua kahofia mziki wa TZ. Inawezekana vp boda iwe ufukweni? yani kwa upande wa Tz ukikanyaga maji tu ushaingia kwa wanyasa....inawezekana vipi hii? thats bullshit.
Hasan,'
Hebu fikiria jinsi utawala uliopita ulivyom'treat" Joyce ndipo useme una walakini na busara zake. Walijaribu kumpindua wakashindwa, sasa ingekuwa wewe, watu kama hawa ungewatendea kweli with kid gloves?. Haya, tukubali haya makosa ya mpaka yalifanywa na wakoloni, lakini kwa Bi Joyce Banda kusema kuwa suala hili litafumbuliwa "amicably" (and by the way, I like the word amicable) inaonyesha busara na si ukurupukaji.
 
sijui lowasa, membe na sita watajisikiaje kuona mwanamke kawazidi busara? Haya asiye na koromeo tena anaekojoa kachuchumaa kawa bora kuliko wenye mikoromeo na wenye kukojoa wame simama kazi kweli kweli....

bado wantumia zile lugha za kizamani za wapigania uhuru kwa mtutu wa bunduki.
 
Mkuu kwani umesahau kuwa huyu jamaa ni dhaifu mbele ya viumbe hawa!

KIKWETE KASHINDWA KUPONGOZA, SASA KAAMUA KUGAWA TANZANIA ALIYOPEWA NA NYERERE IKIWA IMEKAMILIKA, SASA KILOMETA 30 ZA ZIWA ZINAONDOKA MIKONONI WAKE, TENA MWANAMKE NDIO ANAMNYANG'ANYA.

NI BORA tungemchagua Dovutwa au mchungtaji mtikila.
 
Nadhani hapa busara itatumika. Kama mpaka ni ufukwe wa ziwa Nyasa upande wa Tanganyika, mbona Malawi haijawahi kuweka kituo cha uhamiaji kama ilivyo Namanga kati ya Kenya na Tanzania? Huyu mama nadhani ni mtu wa busara, tusubiri tuone.

Kweli hapa inatakiwa busara toka upande wetu Tanzania. Bahati mbaya kwa akili za mbayuwayu za viongozi wetu SIONI BUSARA NDANI YAKE...
 
Wanatulegeza kwa maneno tu hao wamalawi kuna nguvu wanaitegemea kutoka magharibi kuja kuwasaidia kivita.. Dawa Tanzania izidi kuongeza askari na mitambo mpakani na askari wazidi kujifua wawe fit... Kwa ufupi wamalawi wameogopa kwani zana za kivita zilizo sombwa mpakani labda madege ya matrekani yaje kuzilipua kabla hazijaleta madhara.. Rais wetu kukaa kimya ni hekima kubwa kuliko hao viongozi waliotangaza vita utadhani wa ndio ma amiri jeshi wakuu..
 
On a serious note kama uyu mama atahold talks na Jk ziwa litaenda maana mkuu ana udhaifu na hii opposite sex!
Ee mola tuopoe toka kwenye ili janga angalau aka kaziwa tuendelee kushare wote
 
Kweli hapa inatakiwa busara toka upande wetu Tanzania. Bahati mbaya kwa akili za mbayuwayu za viongozi wetu SIONI BUSARA NDANI YAKE...

Busara zitoke wapi? Kwa akina liwalo na liwe? Ni upepo tuu utapita? Jeshi letu limejiandaa? Uwezo na nguvu tunazo? Tutajibu mashambulizi kivita au tusubiri na mbayuwayu nae atasemaje???? Tehe Tehe Tehe hii imekula kwetu Ngoja ****** aoneshwe nusu paja Kama ajasema wewe chukua ziwa lote kwa watz ni upepo mmbaya umepita watasahau tuu
 
[/FONT][/SIZE]Mytake:

1. Jakaya Asipokuwa makini Ziwa Nyasa linachukuliwa

2. Waziri wa mambo ya nje Mh Membe aache mambo ya kupayuka hovyo maana mambo haya yanamshinda
Una matatizo ya kimsingi, sasa una shauri vipi watanzania wajifungie vyumbani na kusali and hopefully the problem will go away?
Mwanume mshipa bwana!
 
nawahurumia ccm watapigwa bao kirahisi.Serikali ina watu waoga kuface reality wataishia danganya watanzania hadi mambo yawe too late.Wamalawi wataanza kwa kujaza watu wao, kujngea upande wao hadi wa kwetu kupitia watu tudhanio niwetu kumbe ni wao, sasa kam hizo shule zifikiwazo kwa boti,punda na miguu kwa upande wetu na kwa gari upande wa malawi, msijekuta wanafanya mitihani Malawi.

Nitapat huruma sana katika mahakama ya UN wapigwa blah blah kama za wale wazee watapeli, wakichomekewa kuwa au tukapige kura kwa raia halafu wakajidahu wakasema ndio.Halafu waje gundua kuwa raia zaidi ya Nusu ni wamali ila wameishi kw amiaka zaidi ya 3o, kuanzia enzi zile wakisaidia wapelelezi wa makaburu hadi leo.

Serikali ay CCM haikuendeleza kule na kwa vile hawakusikia kilio cha watu wa kule wakajisahau.Ukiona mkeo anapewa matunzo kwa jirani kwa ksingizio cha ujirani mwema,tena mara nyingine bila kujua ujue kuna walakini.

Hayo mazungumzo yanatuchelesha ili wajiandae kwa mengi, waningiza game katik mchezo wa Iran na jumuia ya kimataifa katika Nuclear. Hapa wanakazana jamaa wamalizie upelelezi ramani na kila kitu, halafu malawi waweke kila kitu sawa.Kisha mazungumzo yavunjike.vita ianze kwa malawi kulipua kisima kimoja cha UK, halafu UK wapate kisingizio cha kutuwekea vikwazi vya angania kama ghaddafi huku wakiwapa siri.Mbaya Radar pekee inayoona ukanda huo hadi maeneo ya mbeya ndio hiyo yenye scandle kutoka UK.Kuizima ni rahisi sana.Jeshi lisogee pale ,raia wawekwe sawa.meli mbovu iwashwe na nyingine ipelekwe usiku asubuhi ianze trip bila inaugguration.kama vile ilikuwa siku nyingi.Na akin EL wawe wengi hawana hasara kwani wao si wasemaji wa nchhi,ila mikwara yao inaweka mambo clear huku maadui wakishindwa pata sababu ya kulalamikia vitisho kwani aliyesema si rais wala waziri wa mamabo ya nje.Tuwe kam Russia kipindi cha vita na Georgia.Jaza raia, endeleza hata kwa usiku mmoja.Jeshi likaweke makazi kama raia, wengine waajianzishie shughuli kam auvuvi, na uchimbaji madini, wakianza faulisha mamluki wakutane na wazee wa kazi.Yaani kila kitu kinahitaji kuwa siku ya sherehe pilau iwe tayari kweli kabla msosi haujaanza liwa.
 
Sijui lowasa, membe na Sita watajisikiaje kuona mwanamke kawazidi busara? Haya asiye na koromeo tena anaekojoa kachuchumaa kawa bora kuliko wenye mikoromeo na wenye kukojoa wame simama kazi kweli kweli....

Hivi nyie hamjui kuwa nchi huenda vitani kutetea ardhi yake? Sasa huyo mnayemwona ana busara zaidi rais wenu mpendwa Joyce ana-play mind games. Anataka wenye akili matope kama hizi walale dororo wakati yeye aslishajiandaa kabla ya kutangaza mgogoro dhidi ya Tanzania. Kama kweli angekuwa na busara kihivyo angeanza kwenda mahakamani kwanza kabla ya kuanza utafiti. Au nyie hamuoni kwamba busara imekuja kutokana na jinsi situation ilivyokuwa ina-unfold? Kina Sitta, Membe, Lowasa walifanya jambo muafaka kwa wakati muafaka. Kwa hiyo kama huyo rais wenu Banda kachagua diplomasia vema, asitisshe utafiti akae mezani, vinginevyo uvamizi utakuwa unaendelea na kulinda mipaka yetu sisi watanzania kwa hali na mali ni haki yetu. WAKE UP!
 
Una matatizo ya kimsingi, sasa una shauri vipi watanzania wajifungie vyumbani na kusali and hopefully the problem will go away?
Mwanume mshipa bwana!

Mkuu huu mgogoro umenifunza mambo mengi. Wakati tunalaumu kuwa na viongozi wabovu, kumbe watanzania wa sasa ni hovyo kabisa. Hebu cheki thread za kufagilia Malawi zilivyojaa sambamba na za kuiponda Tanzania. Where is nationalism.
 
Hatutaki wizi, ziwa Malawi si la kwetu hilo mnalijua fika, tukianza kuchezea mipaka tuliyoachiwa na Mkoloni , hata Kenya watadai mlima Kilimanjaro.

Mnajua wazi huo mkataba wa 1890, unaruhusu watz kutumia maji na uvuvi.Hili la mafuta si yetu ni kweli.

After all hayo mafuta yakipatikana yatawafaidisha akina riz, fredy lowasa etc, wakati huo tutakuwa tumewapoteza ndugu zetu kibao.

Huu si wakati muafaka wa kulumbana na Malawi tungepambana kwanza na mafisadi wa ndani, baadaye tukipata viongozi waadilifu ndo tuzungumze haya.
 
Watanzania tuache unafiki jamani,kila kitu cha maana tunaingiza siasa ndani yake!Hivi kuna kiongozi watanzania aliyesema anataka vita na malawi?Membe alisema waache uchunguzi wao wa mafuta ndani ya ardhi yetu mara moja hii ni kutaka vita? Sita akasema serikali itawalinda watu wa mwambao wa ziwa nyasa na waendelee na shughuli zao za kila siku kama kawaida hivyo ni kutaka vita? Lowasa akasema njia ya kidiplomasia ndiyo sahihi kutatua tatizo hili lakini wenzetu wasipokuwa tayari ikafikia hatua ya vita basi jashi letu lipo tayari hapo ndiyo kasema anataka vita?.Mbona hamuwasemi wale viongozi wa malawi waliosema mazungumzo yaendelee lakini wataendelea na uchunguzi kwenye ardhi yetu?Hebu tuacheni siasa kwenye mambo ya muhimu huu ni ujinga.
 
Sasa hapa aliyelala dororo, mwenye Akili matope na wa kuamka ni nani zaidi yako? Wewe ni janga la kitaifa umenikumbusha kauli ya baba wa taifa mwaka 70 kuwa ni bora uwaongoze wasomi 1-million ni wengi lakini watakuelewa kirahisi kuliko kuwaongoza wajinga 10 Kama wewe watakutesa sanaa.... APo point ni busara tuu kwa Akili na elimu yako fikiria hili.

A) mke/mume wako anachelewa kurudi nyumbani kila Siku wewe kabla hujamuonya wala kukaa nae na kumueleza msimamo wako au kumpa nafasi ya kujieleza sababu iliyopelekea achelewe tayari umesha anza kumtishia je kuna busara hapo?
B) mtu kavamia shamba lako bila wewe kumtaarifu kuwa wewe ndio mmiliki halali wa eneo husika ujue respond yake official wewe unaweka bunduki begani na kumfata hapo chizi atakuwa nani?

Hivi nyie hamjui kuwa nchi huenda vitani kutetea ardhi yake? Sasa huyo mnayemwona ana busara zaidi rais wenu mpendwa Joyce ana-play mind games. Anataka wenye akili matope kama hizi walale dororo wakati yeye aslishajiandaa kabla ya kutangaza mgogoro dhidi ya Tanzania. Kama kweli angekuwa na busara kihivyo angeanza kwenda mahakamani kwanza kabla ya kuanza utafiti. Au nyie hamuoni kwamba busara imekuja kutokana na jinsi situation ilivyokuwa ina-unfold? Kina Sitta, Membe, Lowasa walifanya jambo muafaka kwa wakati muafaka. Kwa hiyo kama huyo rais wenu Banda kachagua diplomasia vema, asitisshe utafiti akae mezani, vinginevyo uvamizi utakuwa unaendelea na kulinda mipaka yetu sisi watanzania kwa hali na mali ni haki yetu. WAKE UP!
 
Mkuu huu mgogoro umenifunza mambo mengi. Wakati tunalaumu kuwa na viongozi wabovu, kumbe watanzania wa sasa ni hovyo kabisa. Hebu cheki thread za kufagilia Malawi zilivyojaa sambamba na za kuiponda Tanzania. Where is nationalism.

Nationalism is in the grave yard..didn't you know that?
 
I see! Kazi ipo.

Govt to purchase new ship to ply Lake Nyasa

By The guardian reporter

15th November 2011

The government plans to purchase a modern ship with a capacity to carry 320 passengers and 180 tonnes of cargo for Lake Nyasa at the cost of USD 9 million.

Deputy Minister for Transport Athumani Mfutakamba said in parliament yesterday that a feasibility study was completed in September this year. He said the plans also include the building of a new ship between 2013 and 2015.

“We have submitted the feasibility study report to the government of Denmark for funding,” he noted. According to him, the feasibility study was conducted by the government in collaboration with the Danish International Development Agency (Danida). He said there were also efforts being made by the government, through the Tanzania Ports Authority, to improve infrastructures at Lake Nyasa ports.

He said the improvement included construction of a new passenger and cargo dock in December, this year, and repairing of the passenger lounge at Kiwira port, whose maintainance work would be completed this fiscal year.

He said that Mbambay Bay port would also be expanded in the 2011/2012 financial year, while construction of a warehouse for Kiwira port was expected to begin in the coming financial year.

He however said that, in collaboration with Tanzania Ports Authority, the government would use its Ports Master Plan to construct new infrastructure at Manda, Liuli and Ndumbi ports in the 2012/2013 fiscal year. He said the aim was to create an environment that would enable provision of services for available vessels and the new ones.

Mfutakamba was responding to a question from Ludewa MP Deo Filikunjombe (CCM), who queried delayed implementation of the president’s promise to purchase a new ship for Lake Nyasa with a capacity of carrying 400 tonnes.
The legislator also wanted to know whether there were any plans to expand available infrastructure to allow smooth operations for the new ships.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Banda siyo kwamba ana busara. Intelijensia wake wamemwambia juu ya boti za kijeshi zilizopo ziwa Nyasa na askari na vifaa waliopelekwa Kyela na Songea. Naye ana akili amejua maji ya shingo. Yeye si ndiye aliyesema wiki iliyopita kuwa yupo tayari kufa akiipigania Malawi.

Ila nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wetu katika kunegotiate. Mtu mwenyewe Membe na yule balozi Tsere anayeonesha kabisa yupo tayari kuliachia ziwa.

Huyo Patrick Tsere sio yule aliyekuwa na mikashfa kibao sakata la Loliondo miaka ile na pale AICC?
 
Back
Top Bottom