Hakuna cha Hacked wala nini.Ni janja hiyo ili kuficha ukweli.Hacked
Jr
OkHakuna cha Hacked wala nini.Ni janja hiyo ili kuficha ukweli.
Haya kumekucha na sijui nini kina endelea. Mara Sugu kaandika ......na sasa Lema anakanusha. Ukweli ni nini?
Hahahaaa kivipi mkuu???
Mi natamani sikumoja nimuone Stone anakubali sehemu alipopungukiwa
sawa tutajirekebisha.Itifaki ipo na Duniani Kote kuna Utaratibu..sijui Kwann chadema kila mara wanajiwekea kitanzi wenyewe.
Mkuu Wa nchi ameshaingia kwa usalama sio sawa nyie chadema kuingia baada ya Rais..Sio Heshima na pia sio sawa...
Lawama kila mara ila mmechemka sana
Hongera Sugu kwa Kujitoa kwenye kundi la Wahuni
sawa tutajirekebisha.
Sugu ni mkweli.Hongera Sugu hii ina zidi kudhihilisha kuwa Mbeya hakuna unafiki
Wacheni uhuni wenu wa kijinga, yaani mnadukua account ya mtu kisa mjifiche kwenye kivuli cha uogo? View attachment 1519661
Sugu ni mkweli.
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamesema wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi