Joseph Kabila & His Beautiful Wife

Mhhhh................

Walau havai PAMBA NZITOOO kama Mama fulani......

217515-joseph.jpg


marie.jpg


Mama ni kama Michelle Obama vile. Nguo zake ni za kawaida sana sana. Atakuwa katoka kwenye familia yenye CLASS maana hahitaji kuwaambia mashoga zake kuwa "Sasa mtanikoma......" Kuna wengine waume zao wakishakuwa Marais, huwa wanawake wengine anataka wazime kabisa sigara maana yeye kashakuwa Mama No.1 nchini mwake.

Mimi hiyo picha ya pili nimekereka kidogo- ni mwanamke mzuri wa haja asingeweka hiyo minywele ya bandia, yeye kama kioo cha taifa akiwa natural na kuonea fahari asili yake ingeleta raha zaidi
 
Mhhhh................

Walau havai PAMBA NZITOOO kama Mama fulani......

217515-joseph.jpg


marie.jpg


Mama ni kama Michelle Obama vile. Nguo zake ni za kawaida sana sana. Atakuwa katoka kwenye familia yenye CLASS maana hahitaji kuwaambia mashoga zake kuwa "Sasa mtanikoma......" Kuna wengine waume zao wakishakuwa Marais, huwa wanawake wengine anataka wazime kabisa sigara maana yeye kashakuwa Mama No.1 nchini mwake.
Mbona unamsema kiujanjaujanja salma kikwekwe!! Welevu tumekuona kwa sana.
 
Nilikuwa na maanisha Mke wa Rais Paul Biya wa Cameroon, CHANTAL. Sikuwa nafahamu kuwa hata Bi. Mkubwa katoka familia masikini. Ukikaa sana shamba mambo mengi yanakupita.....

2009-health-summit_1388582i.jpg
mi kwa kweli nywele za huyu mama huwa zinanikosha sana!sijui huwa haoni kuwa ni mzigo!natamani nimtue ujue!lol!
 
v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} This fela is a real boss! Calm & Collected. A True Symbol of Power, A Real Dynasty! The only President that – I know – Got Married – to a real beauty – in the State House. The Fela is Governing the Most Ungoverned Nation in the World. Mr. Joseph Laurent Desire Kabila - grew up & raised in Dar es salaam!



kabila+3.jpg
kabila+and+maria.jpg



kabila+and+marie+wed3.jpg

kabila+and+marie+wed.jpg



Bado naamini mke wangu ni zaidi ya wote japo mi si rais. Licha ya yote, Kabila ana mnanii kweli mkewe? Najiuliza kwa sababu stress alizokuwa nazo huyu yanki sidhani kama nanii yake inadinda, maana ye kila siku na muda wote ni kuwaza tu nani atakayempindua na hatimaye kumuua. Na ukishakuwa na msongo wa namna hii kichwani hata iweje kuja kudinda kwako ni bahati nasibu. Utakula dawa za kimasai na kupiga nyeto wapi, unakunya pepo tu. Namsikitikia tu huyu binti kwani sidhani kama anatoshelezwa kunako kitanda!
 
Back
Top Bottom