JOSE MOURINHO:CHELSEA NOT FOR CL's FINAL

MAFUTBOL

Member
Apr 4, 2012
34
10
[h=6]Jose Mourinho: "I don't see Chelsea in the final it might be Real Madrid v Barcelona or Bayern v Barcelona but i don't see Chelsea going through to the final."[/h]
 
huyu jamaa anazimia sana spot light...anatakiwa ajipange sana la sivyo Bayern wanairusha timu yake.....
 
Mourihno kaongea hivyo kutokana na utata wa barca.... Anamaanisha, ukicheza na barca una asilimia ndogo sana ya kupita.

Mtoa mada ameweka hii nukuu nusu. Mourihno kabla ya hapo amewapa chelsa pole kwa kukutana na barca. Na ametabiri kuwa barca itapita kutokana na upendeleo wake wa wazi, Zidi ya marefa.
 
Jamaa kaongea I see! Mechi ya juzi Barca hawakucheza vema na pelnaty zao so suspicious.
 
kama alivyotabiri ndivyo itavyokua it's either Bayern vs Barca or Madrid vs Barca...Jose ameshakua kwende jopo la ufundi Barca, Chelsea na sasa yupo Madrid ni wazi anafahamu kwa undani mbinu ya timu hizi.
 
Mi naipenda Chelsea kuliko roho Yangu. Ukweli ni kuwa nimejiandaa kuhuzunika ila imani ninayo pia
 
Jose Mourinho: "I don't see Chelsea in the final it might be Real Madrid v Barcelona or Bayern v Barcelona but i don't see Chelsea going through to the final."


Now how do you see after the 2nd semifanal ends?.
 
Mourinho bingwa wa mind game!maneno haya kuwainspire chelsea wakaze ili wawang'oe barca ili kama madrid akipita fainali asikutane na bwana ake gurdiolla!mourinho anajua aruke arukavyo ila kwa gurdiolla anaenda kama mkate katika chai!anapigwa ubabani na mamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom