Jonathan Majors ametolewa mchezoni na wanawake

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,688
106,829
Kuna wakati nataka kuamini conspiracy za kwamba Hollywood kuna figisu zinazofanywa dhidi ya Actor weusi juu ya mambo fulani fulani yanayowatokea Black actors. Btu lets keep it as a Conspiracies.

Kwa kipindi hiki A list Actors ambao wengi ni weusi zama zao zimeisha kutokana na umri masna wengi wao wapo above 50. Will smith, Denzel, Martin lawrence nk. Ndipo kaibuka bwana Jonathan Majors straight from Yale University of Drama Arts. Kutokana na mwonekano wake na uwezo wake wa kuigiza amejipatia umaaruf mkubwa Hollywood na kupata deal mbalimbali za kufanya matangazo mfano John Walker Alcohol drink, US. Army nk. Kubwa zaid Kampuni ya Marvel Studio ilimchukua na kumpa mkataba karibia wa miaka 7 wa kuigiza kama Supervillain Kang The Conqueror. Kutokana na uigizaji wake as Kang katokea kupendwa sana na mashabiki.
FB_IMG_16991642016439914.jpg

Mambo yaliharibika mwezi March mwaka huu ambapo alikamatwa na police kwa mashitaka ya kumshambulia mwanamke mmoja [Girlfriend wake Mzungu]
Kesi ikaanza kuunguruma Lakini wakili wa Jonathan Majors alitoa message iloyotumwa na mdada huyo ikosema kwamba "They said they had to arrest you as protocol when they saw the injuries on me, and they knew we had a fight. I'm so angry that they did. And I'm sorry you're in this position. Will make sure nothing happens about this. I told them it was my fault for trying to grab your phone. I only just got out of hospital" I reiterated how this was not an attack and they do not have my blessing on any charges being placed. I read the paper they gave me about strangulation, and I said point blank this did not occur and should be removed immediately."
[Mdada anakataa kwamba hakufanyiwa ubaya wowote na Jonathan, na anomba kesi hii iondolewe mahakamani.]

Lakini walijitokeza wanawake kadhaa ambao walisema kwamba walishafanyiwa vurugu. Video iliyotumika kama ushahid kwenye kesi inaonyesha kua Jonathan hakumshambulia mpenzi wake, ila imekataliwa kwamva sio ushahid thabit wa kuondoa kesi yake mahakaman.
1699164654920.png

Kama kawaida yao wazungu hawapendagi konakona baada ya kuona ana kesi tena inayohusisha kunyanyasa mwanamke wamemtoa kwenye deals nyingi alizokua ameingia mkataba. Marvel Studio walimuacha wakiangalia mwelekeo wa kesi yake. Tarehe 24Octber ndio siku kesi yake ilikua inasikilizwa ila imesogezwa mbele. So wanasubiri hukumu itoke wamle kichwa, japo hii kesi imemshushia sana status yake kwa makampuni.

Hivyo marvel studios wana mpango wa kuachana nae as supervillain Kang, wamchukue Doctor Doom as main villain kwa muvi zitakazofuata. So Jonathan Majors ndio atakua kafa kisanaa kwa mtindo wake coz no one will hire him.!

Nashindwa kuelewa kwann hua wanawafata wanawake wa kizungu wakati wenzao weusi wapo wazuri tu. Johnny Depp kashapata somo kwa Amber Heard japo alushinda kesi but no one hired him ever since, fans wa muvi ya Aquaman walipiga kelele Amber atolewe kwenye muvi ya Aquaman ila Amber alimtumia Ex wake bwana Elon Musk akaongea na CEO wa Warner Bros kibabe Amber akaendelea kuwepo kwenye muvi japo mashabiki hawamtaki.🤭
Tumoombee ndugu yetu huyu kesi yake iende salama maana akishindwa ni kifungo cha mwaka jela na career yake itakua imeishia hapo! Mizimu ya kiafrika iwe nae huko aliko
FB_IMG_16991642228520963.jpg
 
Akili mtiu wangu, hawajifunzi kwa wenzao, sijui ndio niseme mapenzi upofu au ni upopoma ila naamini ni mapopoma, nchi za huko demu wa kizungu, au mwanamke kiujumla ni wakukaa nae mbali saana.
 
Ndio maana niliona Poster jana ya kwa page za Marvel fans Doctor Doom akiwa Kama Villan Mkuu.

Ila naomba niulize kwanini sasa wabadili villan kutoka Kang kumiweka Dr Doom badala ya kubadili tu muigizaji ila villan yuleyuke Kanga.

Ila mamuvi ya huyu Kanga na u-villan wake kama sijaulewa marangairangi tu ila Doctor Doom Kama namuelewa power zake na hata movie zake zi akuwa mzuri
 
Marvel studios bado wanamtaka Jonathan sema hiyo kesi ndio inawavuruga na wao hawataki kujiharibia soko lao. So kuhalisia Hawatak kumRecast Jonathan (kumbadirisha) so wanachofanya ni kubadirisha adui/villain ili isionekane Jonathan kafukuzwa.
Ila mamuvi ya huyu Kanga na u-villan wake kama sijaulewa marangairangi tu ila Doctor Doom Kama namuelewa power zake na hata movie zake zi akuwa mzuri
Kama hujaanza kuangalia series ya loki Basi hutamuelewa kang vizuri. Kang ana nguvu kuliko hata Doctor Doom
 
Niliskia kuwa watu weusi huchukua patners wazungu ili wakubalike na white community "Hollywood" Kirahisi..

Ubaya tu ni kuwa wengi huishia vibaya hasa kupitia divorce. Sijui hawajifunzi hata kwa Denzel
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke wa kizungu anayempenda kimapenzi mtu mweusi. Wengi hufuata pesa au umaaruf wa mtu husika. Ndio maana ukiwa huna vitu hivyo utaishia kupendwa na wazeee waliokosa soko kwa wazungu wenzao
 
Kuna ukweli kiasi japo umeiweka too general maana kuna wanawake wa kizungu wengi sana wanaenda visiwa vya Caribbean na hata Afrika kwa ajili ya sex tourism na hata mahusiano..
 
Niliskia kuwa watu weusi huchukua patners wazungu ili wakubalike na white community "Hollywood" Kirahisi..

Ubaya tu ni kuwa wengi huishia vibaya hasa kupitia divorce. Sijui hawajifunzi hata kwa Denzel
Mwamba tayari kakutwa na hatia😭 tayari tushampoteza. I liked him as Kang
 
Kuna ukweli kiasi japo umeiweka too general maana kuna wanawake wa kizungu wengi sana wanaenda visiwa vya Caribbean na hata Afrika kwa ajili ya sex tourism na hata mahusiano..
Kwenye world map ,Africa tuna reputation ya kuwa na mizigo mikubwa( wazungu wanaamini hivyo,sijui kama ni kweli) ndio maana wamama wa kizungu wanakuja kutest mizigo ,sio mabinti ni mishangazi ya kizungu iliyoretire inakula pension
 
Back
Top Bottom