Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

CDM Poleni!
CCM Hongereni!
Kuteuliwa kwa miamba hiyo miwili kwa mkupuo mmoja ni ishara ya kuiimarisha CCM na kuizika CDM Sacco's.

Jakote na Lulandala ni watu makini kiutendaji na kwa vyovyote vile CCM ndio wenye faida kubwa kufuatia uteuzi huo.
1. Lulandala - amewahi kuhudumu CDM kwa hiyo anaifahamu vzr CDM. So huwezi kushindwa kubomoa nyumba ulojenga mwenyewe lkn pia huwezi kushindwa kung'oa nguzo ulosimika mwenyewe. CDM nieleweni!

2. Safari yake imeanzia ktk sanaa - huyu ana kundi kubwa la watu wanaofuatiliwa mitandaoni - safari nyingine ktk utumishi wa ukuu wa wilaya hajawahi kunukuliwa kwa udhaifu wowote wa kiuongozi ndiyo maana baada ya uteuzi CDM wamepararaizi - hawana cha kumsemea - sasa kazi yao iwe moja tu kuizika CDM! Sisi wengine tutashiriki kutoka tanga la CDM.

CDM bye bye!
CCM ng'araaa!
Ujuege kuwa uzuri wa sura sio ukubwa wa akili. Ingekuwa hivyo mamiss wangekuea wanachukua the best kwenye mitihani ya Necta
 
IMG_20231012_155336.jpg
 
CDM Poleni!
CCM Hongereni!
Kuteuliwa kwa miamba hiyo miwili kwa mkupuo mmoja ni ishara ya kuiimarisha CCM na kuizika CDM Sacco's.

Jakote na Lulandala ni watu makini kiutendaji na kwa vyovyote vile CCM ndio wenye faida kubwa kufuatia uteuzi huo.
1. Lulandala - amewahi kuhudumu CDM kwa hiyo anaifahamu vzr CDM. So huwezi kushindwa kubomoa nyumba ulojenga mwenyewe lkn pia huwezi kushindwa kung'oa nguzo ulosimika mwenyewe. CDM nieleweni!

2. Safari yake imeanzia ktk sanaa - huyu ana kundi kubwa la watu wanaofuatiliwa mitandaoni - safari nyingine ktk utumishi wa ukuu wa wilaya hajawahi kunukuliwa kwa udhaifu wowote wa kiuongozi ndiyo maana baada ya uteuzi CDM wamepararaizi - hawana cha kumsemea - sasa kazi yao iwe moja tu kuizika CDM! Sisi wengine tutashiriki kutoka tanga la CDM.

CDM bye bye!
CCM ng'araaa!
Husijipe moyo, kiukweli ccm mmekosa watu wa kuteua mkawapa nyadhifa!! Of all people, Jokate?????!!!!! Guys, you are not serious, period!!!!
 
Back
Top Bottom