Johnny Depp azikataa pesa za fidia alizoshinda kwenye kesi dhidi ya aliyekuwa mkewe, Amber Heard

Baada ya kesi iliovuta hisia za watu wengi kati ya John Deep na ex wake Amber Heard kutolewa hukumu ambayo ilimpa ushindi John Deep
Mahakama ilitoa hukumu kwamba madai yoye ya Deep kuwa mkewe alikua anamchafua na kutaka alipwe 10m usd yalikua sahihi na kumfanya Deep kuwa mmoja wa wanaume wachache sana USA kushinda kesi za namna hiyo mahakamani

Hata hivyo Deep amesema kesi hiyo haikuwa kwasababu ya kulipwa hiyo hela bali ilikua ni kulinda heshima yake, hivyo hatachukua hata senti moja kutoka kwa ex wake
Amber lt, au amber Luu, hawa wakina amber hawa wakua nao makini
 
Mie navipenda vile vichekesho vyake tuuu na ile sauti yake ya ucheshi hajaaaaaa
 
Back
Top Bottom