John Mnyika na Maji ya DAWASCO

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
YouTube - Price of water in Dar es Salaam

Wakati mwingine ni vema kutoa compliments kwa waliofanya utafiti kuhusu bei ya maji, kuliko kuibeba kama ajenda binafsi. Tatizo ambalo Mnyika analiibua sasa lilifanyiwa utafiti September 2010 na UWAZI-TWAWEZA ambapo ilibainika kuwa watu wanalanguliwa maji. Ripoti ilisambazwa na nina hakika Mnyika aliipata, sasa asichukue credit zote peke yake bali awapongeze waliotafiti na yeye akapata pa kuanzia. Asijali, hata kama anawapa ujiko.

More: Do water kiosks comply with official tariffs? :: Reports by Uwazi :: Our work :: Uwazi.org
 
Back
Top Bottom