Joe Biden anaposhutumiwa kuwaunga mkono HAMAS, nani yuko salama?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,182
36,169
1. Marekani haijawahi kuwa na rais pro Israel kuliko bwana Joe Biden aliyeko madarakani sasa.

2. Yupo kwenye rekodi Joe Biden akisema commitment yake kwa Israel ni unconditional, iron clad na vya namna hiyo; kuwa atasimama nao hata iweje!

3. Kwamba hapo #3 atakuwa nao hata wamtie vidole machoni!

4. Pamoja na yote kwani ameweza kujinasua na tuhuma kuwa, kumbe naye ni HAMAS wale wale, mara alipochoshwa na upuuzi uliopitiliza wa Israeli?

5. KatiKa ukurasa wake wa Twitter waziri Ben Gvir, amefunguka na bila: simile!

IMG_20240512_082202.jpg


6. Kisa na mkasa?

IMG_20240512_082453.jpg


7. Vile vile kama yanavyo tushutumu sisi, yale mambuzi mafia dini (MK254 na ya namna hiyo) kila yanapokuwa yamezidiwa au hayana hoja. Hoja haipingwi kwa rungu au kuitana majina!

8. Kwamba yalikereka mno kusikia sasa imefikia hatua upuuzi wao haukubaliki tena hata Marekani huko, na hivyo wajomba zake Yesu wamefura kwa hasira kali?!

9. Wajomba gani wa Mungu wauwa watu hawa? Labda tu, kama ni wajomba zake ibilisi!

10. Hawa si ni vibaka kama panya road tu wa pande za kwetu Buza huku?!

IMG_20240512_082310.jpg


11. Ati kuwa watapigana hadi makucha kwani "iron dome" nayo ni ya makucha? Au nayo ni proceeds kutoka kwa beberu?

12. Kwamba kumbe beberu akiwapiga chini mapigano yatageukia kwenye makucha? Hivyo si ndivyo wapiganavyo wachumba, panya road sasa?!
 
Clinton alipotaka kuipuuza Israel chupi yenye manii ilipelekwa mahakamani kama Ushahidi wa kuchepuka Kwake Kuwa sio muadilifu!
Yahudi Si mchezo
 
Back
Top Bottom