JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

Yaani huu uzi full kicheko, COLLOH-MZII RELOADED wewe kiboko cha hawa kweli, big up 254, jamaa hadi wanatamani kulia.
52% schools with no doors for girls latrines.....ndio maana imebidi hadi rais aingilie maana watoto wanatiwa mimba sana huko.
 
Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
 
Yaani huu uzi full kicheko, COLLOH-MZII RELOADED wewe kiboko cha hawa kweli, big up 254, jamaa hadi wanatamani kulia.
52% schools with no doors for girls latrines.....ndio maana imebidi hadi rais aingilie maana watoto wanatiwa mimba sana huko.
Ukiboko gani anao Collo wewe Zero Brain. Huyo mwenyewe alidai mwanzo ndege haiwezi kutua. Kalambe K huko !
 
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
Uganda na Rwanda pia wameanza ujenzi wa terminals mpya. Hawa jamaa tunalambisha kundu mwanzo mwisho. Mambo ya Hub of East Africa watakufa kifo cha mende
 
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
Airbus 380 inaweza land hadi Isiolo airport, emergency landing sio kitu ya kufurahia ety sasa nyinyi ni hub of East Africa. Bado mko mbali sana kupiga mdomo ovyo kwa maswala ya ndege.
 
JKIA iko busy 24 hours hatuna wakati wa kufurahia emergency landing sisi tuko business as usual.
 
Unahamka asubuhi unakuta imepigwa jina la Jambo Jet na registration number imebadilishwa:D:D Pilot anaanza kutafuta ndege kwenye mifuko ya trouser.:D:D Usicheze na mtu anaitwa mkikuyu:D:D Huyo mtu ukimuuliza hata kiwanda chakutengenaza horn ya ndege, Nairobi utapata:D:D
Haha umetisha
 
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.

Kweli Kenya ndio East African hub.:cool::cool:
 
Airbus 380 inaweza land hadi Isiolo airport, emergency landing sio kitu ya kufurahia ety sasa nyinyi ni hub of East Africa. Bado mko mbali sana kupiga mdomo ovyo kwa maswala ya ndege.
Hizo Jumbo Jet hata airplane manufacturers wanataka kusitisha kuzitengeneza huku wengine wanashabiki eti imeland. Wah!
 
Back
Top Bottom