Jkt&jwtz

olomi Jr.

Member
Mar 3, 2012
25
1
eebwana JKT nafasi zinatoka march kati kati 2012 so kaeni tayar ndugu zangu...NB:Hauwezi kuwa mwana jesh wa JWTZ bila ya kupita JKT vinginevyo uwe proffessional acheni kudanganyana brothers&sisters...
 
chanzo cha taarifa yako please! Pia, sio kweli kujiunga JWTZ ni lazima upitie JKT,bali kinachotokea ni kwamba wanatafuta urahisi wa kurecruit vijana wa jkt kwa kuamini uimara na ufahamu wao juu ya masuala ya ulinzi. Thus, nafasi ya kujiunga na JWTZ iko wazi kwa kila raia wa Tanzania anayetimiza masharti yaliyowekwa.
 
eebwana JKT nafasi zinatoka march kati kati 2012 so kaeni tayar ndugu zangu...NB:Hauwezi kuwa mwana jesh wa JWTZ bila ya kupita JKT vinginevyo uwe proffessional acheni kudanganyana brothers&sisters...

mgambo ni mwezi wa ngapi?
 
Habari zenu waungwana ,naomba kuulza mtu mwenye certificate yalaw ,pindi atakapopata nafac yakwenda mafunzon atakuwa anastahli ama atapewa cheo kipi?tafadhal wadau mwenye kujua mnijulshe
 
Wewe certificate ya law utakuwa kuruta tu,wenye degree wenyewe wapo wengi sana mtaani hata uhakika wa kupata nafasi kazi,mwenye uhakika kabisa ni mtu mwenye masters.
 
Mbona nasikia wengine wanasema kuchukua afisa kadeti wamesogeza hadi mwezi wa nane??
 
hizi zote story tu...hakuna mwenye uhakika wa nafasi hizi...jamaa yangu ambae yupo kikosi cha rada ana diploma,pamoja na wengine ndo kwanza wamekusanya vyeti kwa ajiri ya usaili wao...na mpk sasa hawajaitwa.....nyie wa nje ambao hata mgambo hamjapita itakuwaje....

acheni story za kusadikika hapa.......nimeongea mpk na watu wa makao mpk sasa ajira za jeshi za maafsa ni kitendawili hapo ni muujiza...kama zikitoka wale wenye masomo ya ART mna kazi ngumu...safari hii wameenda wengi sana.

JKT mpk mwezi wa NNE ila ni kwa form 4 na STD VII.....
 
masomo ya arts yamekuaje tena mdau,ebu tufafanulie kdogo?
 
Mbona mnakimbilia ujeda?Hata Ualimu ni dili.Natamani sana kuitwa tcha regardless nna elimu gan.
 
leo nilikuwa Makutupora ndani kikosini,nikiwa katika kazi zangu,gafla nikakutana Na MP,nikamwuliza safari hii mtachukua jkt la wataalamu? Jibu lake lilikuwa hv,kwa taarifa anazozijua yeye kuwa mwaka huu kuna Jkt compusory ila hakusema ni hawa form six au wataalamu..akasema ngoja waone mpaka mwezi wa Nne.

Hata wao wa ndani hawana isue kamili vuteni subira mtaenda...
 
Jwtz imetoa nafasi kwa wanamuziki..for more informations tembeleen kwa washaur wa migambo...
 
Back
Top Bottom