Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Nafasi za kujitolea JKT zikitangazwa tangazo litawekwa kwenye tovuti ya JKT.
Kitambo Sana niko ukumbin muda huuKwaiyo ushajipatia yako kimya kimya mkuu? Hahaaa
Tayar MkuuMtapigwa
hahahahaVile napimia watu walivyo subscribe huu uzi kimy kimya wakisubiri nafasi za jkt kutangazwa humu
Hahahaa utapigwa maweNafasi zimetangazwa mikoani huku mbeya tayar watu wameanza michakato
Fanya uingie na chumbaniKitambo Sana niko ukumbin muda huu
Wanarudi home mwezi huuOp magu tupeni updates zinazoendelea huko vikosini.
AseeWanarudi home mwezi huu
washalifaidisha jeshi sasa ni muda wa kujifaidisha wao
Waliongezewa mwezi mmoja hadi tarehe 5 Januari 2019.Wanarudi home mwezi huu
washalifaidisha jeshi sasa ni muda wa kujifaidisha wao
AiseeWanarudi home mwezi huu
washalifaidisha jeshi sasa ni muda wa kujifaidisha wao
Kuongezewa tarehe kuna maana IPI hasa?Waliongezewa mwezi mmoja hadi tarehe 5 Januari 2019.
Wanasubiri vyeti vya kuhitimu JKT ndugu yangu, mambo ni magumu sana miaka hii ya jiwe.Kuongezewa tarehe kuna maana IPI hasa?
1.kuna probability ya kupewa ulaji vikos vya ulinzi?
2.wanasabur jkt ipewe nauli za kuwarudisha kwako?
3.kuna kozi bado hawajamaliza ndo wako hatua za mwsho mwsho?
4.Hawataman kuwaona wanaondoka kwakua ndio nguv kazi yao walioizoea?
5.wanamalizia kukabidhi vifaa vya jeshi, kusainishana na kupeana mkono wa kwaheri ya kuonana?
MY FACT, hakuna haja ya kuwachelewesha vijana wetu huko makambini hali ile hakuna issue ya maana, ni bora wawaruhusu tu wajiondokee mapema wawahi kazi za ulinzi huku au wawahi msimu wa nvua huko vijijin kulimA.
daaaah kwaiyo jkt mwaka huu amnaa auWanasubiri vyeti vya kuhitimu JKT ndugu yangu, mambo ni magumu sana miaka hii ya jiwe.