Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Mheshimiwa Rais JK,Nakusihi sana tena nipo chini ya miguu yako,tuachane na mambo ya Kampeni haswa yanapokuja Maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla... Ni zaidi ya mwezi sasa Pantoni mpya iliyotengenezwa kwa asilimia kubwa na kampuni ya Kitanzania ya Songoro,katika mto Pangani kukamilika lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma... Kisa...Inasubiri ufunguzi wa MBWEMBWE ZA KI-KAMPENI KAMPENI WA JK!!! Loh loh!!!
Mbona Pantoni mpya ya kisasa ya MV Magogoni ilianza kazi kabla ya kufunguliwa rasmi... TASWIRA ZIFUATAZO HAPO CHINI ...Ni baada ya Pantoni ya zamani kuu kuu kuharibika...
Natumaini wewe ni Memba hapa... au una mwakilishi hapa...
Mheshimiwa busara zako zitaokoa maisha ya wengi... AMEN.
Naomba Mods mnisaidie ziweze-ku-display moja kwa moja Thanks...