Elections 2010 JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi yako

H6MohdH6

Member
Oct 8, 2010
43
3
JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi kutoka makucha ya wezi, wauza unga, na wafuasi wa Al Kaida.
 
Similar to the National Socialist German Workers' Party, CCM would rather have war than peace.
 
Chama cha majambazi kimedhihirisha uhuni wake kilivyokuwa kikipora Raslimali za nchi sasa kimejikita kwenye wizi wa demokrasia.

Msinge tangaza kupiga kura, mngeendelea kulazimisha kuongoza kama ambavyo mmefanya. Lakini Mmejiingiza madarakani Shame!
 
Back
Top Bottom