"JK sacks Defence Minister" The head line that you won't see!

Sufa

Member
Nov 26, 2006
30
1
Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."
 
Mbona tayari imeshatoka, hiyo. Jamaa keshasahau kama kulikuwa na mabomu yaliyolipuka.
 
Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."

In a country where people are just a bunch of cowards, anyone can do anything.... even lunatics.
 
He isn't my president and we don't need incompetent and selfish people in our state house. Secondly Mwinyi should remove himself from the people's office for his reckeess history in our government.
Is this what we call leadership?​
 
Mkwere kaishawasifia tayari this will not happen in Tanzannia

Leo asubuhi nimesikiliza hotuba yake amewasifia mwamunyange na Mwinyi kwa kazi nzuri
 
Watanzania wote tunapokea kwa kupiga makofi kuwasifia is not a solution yakilipuka tena
 
Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."

This can only be done by a purely democratic leader, we do not have one in Tz.
 
mimi yangu macho, kama utani siku zinakatika leo ni tarehe 18/2.2011, mara itakuwa mwezi wa sita mara wa tisa, mara mwaka umeisha si mnajua tena jinsi siku zinavyokimbia siku hizi na ukata huu. sasa wasiwasi wangu ni mmoja tu. baada ya miaka mitano kwisha ahadi tulizopewa na CCM zitakuwa zimetimizwa angalau nusu?
 
Hiki unachokisema haswaaa ndicho KIBURI NA JEURI WA wana-CCM inayotukera sana vijana. Yaani wananchi 17 wafe halafu mpaka sasa hivi hakuna aliyewajibika?????????

Kazi za kutoa huduma kwa jamii si AJIRA BINAFSI WATU KUNG'ANG'ANIA. La Mbagala walidinda, mauaji Arusha nako wakagomea kuwajibika nadhani sasa tuone kama vipi ... basi!!!
 
Mwinyi amehojiwa na VOA na kusema kuwa yeye hawezi kujihudhuru hata kidogo kwani hajaona kosa lolote.
maybe is ur next prezda..who cares?:clap2:
 
Back
Top Bottom