JK Nae Kumpigia Kura Dr. Slaa Hapo Jumapili Tarehe 31/10/2010

Kila mwenye kukatakia mema ka-Tanzania ketu atampa kura Daktari wa ukweli..
 
habari njema sana ila mafisadi wakikusikia kuwa kikwete atampa kura yake dr.slaa wanaweza kumuua kwani anatakiwa aendelee kuwatetea.......................TUMPE KURA SLAA
 
Ni wakati mzuuri ambao umempendeza Mungu, kwamba watu waishi kwa furaha katika nchi waliyopewa na BWANA.Itayoongozwa na mtumishi mwaminifu kutoka katika Misri kwenda katika Kanaani ya kweli, naam, kisha tutaona nchi mpya na mambo mapya, ya kale yatakuwa yamekwishapita, tazama yote yatafanyika kuwa mapya. Haya yote yanawezekana chini ya Mchungaji mmoja, ambaye atatafuta kila kondoo aliyepotea na kumrudisha zizini. Atakusanya magugu na kuyachoma ili yapate teketea, naam huo ndio, utakuwa mwisho, mwisho wa unyonge, mwisho wa ufisadi, mwisho wa taratibu mbovu za maisha, mwisho wa umatonya. Lakini ole wao waitazamao CCM kama mkombozi wao, wakimwabudu na kumtumikia, amekuwa sawa na Baali, saa inakuja, kama kwa miaka 5 tu maisha yamekuwa magumu mara dufu, tujiulize, je miaka mitano ya kuondoka kwake itakuwaje????? tutumie akili zetu sawasawa. Tupeperushe bendera ya ukombozi,:israel:tuwafunge midomo yao:A S-baby: kwa kufuli la haki, wakae hata kesho yao wasiione tena:peep: saa ya ukombozi ni sasa,
 
Back
Top Bottom