Magane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 202
- 57
Rais kanena neno na mwenye masikio na asikie. Big up our President. There is only one president and JK our president. Tume ya katiba mpya itaundwa na rais wa nchi ambaye ni Jakaya Kikwete. Na hili halina ubishi. Rais anania nzuri tu na wananchi wake tumuungeni mkono bila kujali itkadi zetu.