JK na makuzi

dubwela

Member
Oct 23, 2012
28
2
Waandishi wa habari na vyombo vyao wanatoa habari JK matokeo yamemshtua nawao wamkumbushe mahakamani alipokwenda cku anahutubia nayo ikafuata alisahau? Acwe nazi kwani alitegemea usanii wake ndio utawafunika wote? Na bado yanakuja alafu waandishi nao wasifanywe mbulula waambie wananchi ujinga wa serikali hii na watendaji wake
 
Imenishtua: JK. Kashituka nini kuhusu matokeo mabaya ya Form IV wakati walimu walishatoa onyo wakati ule wa mgomo? Hivi Mkuu kishasahau juzi tu??!! Alitoa tamko ambalo wengi hatushangai matokeo haya pale aliposema Mwl Ambaye hataki kazi aondoke. Walimu waondoke kwenda wapi?? Suluhisho Plan walishakwambia Mh. JK chukua tahadhari kuna mazuri uliyoyafanya lakini kielimu tumekuwa "Zimamoto wa Dharura"

Back
Top Bottom