Elections 2010 Jk na Beyonce..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,894
Kuna vitu vingine akizungumza rais hata havipendezi
kwenye hotuba ya jk mwanza jk alisema
'nataka wasanii wa tanzania wawe kama madonna,marehemu michael jackson,
na beyonce......

I mean hata wasanii wa south africa ambao nchi yao ina
strong music industry na uchumi wao umetuzidi zaidi ya mara 40

huwezi sikia mtu akisema wasanii wa nchi hiyo
wawe kama beyonce na madonna.....

Sometimes jk anajishushia heshima bure kabisa........
 
beyonce-knowles.jpg
 
nini kilimsababisha mkulu akasema hivyo?......yani badala ya kusema uchumi wetu anataka uwe kama wa Marekani, anasema wanamuziki....duh mi nahisi kuchoka kwa kweli
 
Yaani huyu jamaa aje kuwa kama MJ? hii ni kwakua vitabu vya dini vinasema tutapata viongozi wanaofanana na wanaoongozwa simlaumi JK hata sisi tuna mawazo hayo hayo kizuri cha mzungu, embe ya kizungu, inzi wa kizungu etc etc.....

Ushauri wangu wa bureeeeeeeeee:

Najua watu wanataka mabadiliko lakini majoriti ya watanzania hawataki wao wanashida lakini maisha wanayachukulia poa na sisiem ndio baba na ndio mama kwao esp vijijini na huko ndio kwenye wapiga kura wengi! Hawa wengi wao elimu yao ni kama yangu atasota 5 yrs lakini wakati huu yeye ni msimu wa mavuno atapata T shirt, fulana na kofia na pesa kidogo anasahau shida zooote. Kwahiyo msipoteze muda mwingi kucritiseze JK na CCM iwe isiwe ndio watakao ongoza nchi wanazunguka kukampeni kukamilisha ratiba tu ingekuwa mawazo yangu yanaweza kuheshimiwa ningeomba Rais aapishwe siku ya Iddi mosi yanini tuingie gharama wakati tunajua matokeo?

Labda uchaguzi ungefanyika kwa madiwani na wabunge huko sasa ndio mabadiliko yanawezekana tena kwa asilimia isiyozidi 25% na udhibitisho ni viti 16 vya chee kwa sisiem ilhali hakuna hata cha free kimoja cha upinzani.

Tafakari chukua hatua........
 
Usishangae kauli za JMK zisizo na tija, washangae wanamuziki wala pipi, na maisha rahisi rahisi tu . Hawa jamaa they are very tricky. Wanatafuta wa-tz wanataka nini, wanapenda nini, wanahusudu nini n.k. wanawafuata huko huko. Mawazo ya wanamuziki wa tz ni ya kuiga iga, kuwazawaza ngono, mapenzi, kutajirika kirahisi rahisi tu, umaarufu wa kihivihivi n.k. Sikiliza nyimbo zao utajua ninachokisema. JMK anawapa ahadi za hayo hayo wanayoyataka, wanayoyawaza. Wanamuziki wanamapinduzi umewaona wapi tz, ndo maana wengi wao wanashabikia CCM, sio kwa sababu ya uzuri wake, bali kwa sababu CCM itawapa pipi wanazozitaka. Ndo maana haachi kuwaita 'nyumba nyeupe' kila siku. Very tricky.

Labda nizungunze kwa mfano huu: Ingalikuwa wapiga kura ni watoto wa miaka 2, 3 hivi kwenye kampeni kusingelikuwa na haja ya kuwaambia utawajengea barabara au shule au huduma za maji safi. Ungeliwaambia utawaletea midoli, pipi, biskuti n.k. kwao ndicho cha thamani kuliko hivyo nilivyotaja kwanza. Jamii yetu bado haijapevuka kujua nini tunataka according to priorities kwa sababu ya ulimbukeni wa wa-tz wengi. Ulimbukeni huu CCM hawataki kamwe huondoke, kwani ukiondoka CCM itakuwa chama cha upinzani ghafla. Hizi kofia, t-shirts, shati, 5,000, 10,000 ndicho wa-tz wengi wanachokipa kipaumbele.

Kinachotakiwa ni kuendelea kupiga kelele wa-tz waondokane na ulimbukeni. Waione Kesho bora, yenye matumaini, waachane na pipi na biskuti.
 
Kuna vitu vingine akizungumza rais hata havipendezi
kwenye hotuba ya jk mwanza jk alisema
'nataka wasanii wa tanzania wawe kama madonna,marehemu michael jackson,
na beyonce......

I mean hata wasanii wa south africa ambao nchi yao ina
strong music industry na uchumi wao umetuzidi zaidi ya mara 40

huwezi sikia mtu akisema wasanii wa nchi hiyo
wawe kama beyonce na madonna.....

Sometimes jk anajishushia heshima bure kabisa........

Wandugu kwani mmesahau alisema kwamba ataitransform Mwanza iwe kama New York? Hizi safari zake zisizo na kichwa wala miguu zinamfanya anaota ndoto mchana. Jakaya watu hawajala hata chakula mchana, hospitali hawana dawa, shuleni hawana madawati, wake zao wanakufa wakati wa kujifungua, wamekuja kukusikiliza uwape matumaini wako juani maskini unawaambia habari za akina Beyonce? Haya kama si matusi ni nini jamani? Waambie so far umefanya nini ili maisha yao yawe bora kama ulivyoahidi 2005 baba.
 
Jamani alikuwa anatania tu. SI mnajua mgonjwa bado hajapata nafuu hivyo anaweza akasema lolote tu. Tumvumilie
 
Usishangae kauli za JMK zisizo na tija, washangae wanamuziki wala pipi, na maisha rahisi rahisi tu . Hawa jamaa they are very tricky. Wanatafuta wa-tz wanataka nini, wanapenda nini, wanahusudu nini n.k. wanawafuata huko huko. Mawazo ya wanamuziki wa tz ni ya kuiga iga, kuwazawaza ngono, mapenzi, kutajirika kirahisi rahisi tu, umaarufu wa kihivihivi n.k. Sikiliza nyimbo zao utajua ninachokisema. JMK anawapa ahadi za hayo hayo wanayoyataka, wanayoyawaza. Wanamuziki wanamapinduzi umewaona wapi tz, ndo maana wengi wao wanashabikia CCM, sio kwa sababu ya uzuri wake, bali kwa sababu CCM itawapa pipi wanazozitaka. Ndo maana haachi kuwaita 'nyumba nyeupe' kila siku. Very tricky.

Labda nizungunze kwa mfano huu: Ingalikuwa wapiga kura ni watoto wa miaka 2, 3 hivi kwenye kampeni kusingelikuwa na haja ya kuwaambia utawajengea barabara au shule au huduma za maji safi. Ungeliwaambia utawaletea midoli, pipi, biskuti n.k. kwao ndicho cha thamani kuliko hivyo nilivyotaja kwanza. Jamii yetu bado haijapevuka kujua nini tunataka according to priorities kwa sababu ya ulimbukeni wa wa-tz wengi. Ulimbukeni huu CCM hawataki kamwe huondoke, kwani ukiondoka CCM itakuwa chama cha upinzani ghafla. Hizi kofia, t-shirts, shati, 5,000, 10,000 ndicho wa-tz wengi wanachokipa kipaumbele.

Kinachotakiwa ni kuendelea kupiga kelele wa-tz waondokane na ulimbukeni. Waione Kesho bora, yenye matumaini, waachane na pipi na biskuti.

Unfortunately, this is a painful reality!
 
Sasa alipozungumzia burudani mlitaka aseme nini? Mlitaka awafananishe na msanii gani nchi hii? Kuna burudani, siasa, uchumi, kilimo n.k. Kusema hivi haimaanishi namuunga mkono
 
Under Ruge Mutahaba , ambaye ndio mwakilishi wa wasanii kwa JK hakuna cha hata Minanawe hapo, ,JK anajidanganya na sijui nanai wana mshauri .
Jana nimeona wasanii wengiw a maigizao wana futuru Clouds TV , nikasikitika sana nikasema wahanga wataendelea tuu kuwa wahanga , poleni sana .

Hivi Uslama wa Taifa mko wapi jamani ? huyu Ruge ni ana nini jamani mbona mna mwachia ?
 
Nataka ndugu zangu na marafiki zangu wasiwe kama JK au Mafisadi wa CCM.
 
Back
Top Bottom