Kikwete atua Dodoma na kupokelewa na Hamad Rashid

Status
Not open for further replies.
Mkuu, hiuo picha ya kwanza ukitazama nywele za mh raisi ka vile zinapukutika kichwani! Amechoka sana. Uongozi ni kazi nzito
Hahaha niliona hiyo kitu, mara naiona na comment yako! Kweli uongozi kazi na ikulu si mchezo, alisema Nyerere! Nahisi expectation za mkuu zimekuwa tofauti na hali halisi.
 
Kumbe Maalim Seif aliona mbali sana kuamua kumtimua huyu jamaa kwani kajionyesha dhahiri kuwa sio CCM B bali ni CCM A...
 
Wawekezaji ndio kitu gani? Hakina mwekezaji yeyote anayeweza kumkomboa Mtanzania. Wawekezaji ni wakoloni tu kama akina Karl Peters; wanyonyaji waliojaa ghiliba.
Sema kiazi mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Mijitu mizima na uzima wake inakuwa tegemezi utafikiria kupe. Watanzania tupo zaidi ya mil 40 halafu wote tuwe useless mpaka tungojee watu watatu watoke ulaya na tuwashangilia kama ndio malaika ameshuka toka juu? Na kibaya zaidi vinara wa kadhia hizi na rais akiongoza mawaziri na miji-bunge inapiga foleni kama midume ya ngedere just kuwalaki watu watatu eti wakombozi....? ndo maana nasema kila siku ... wacha tuzidi kuitwa manyani ni haki yetu...
 
ndio hali halisi mengine.......ndoto
 
binafsi nadhani ipo namna iliyofanya Mhe Hamad awepo pale kumpokea Jakaya,kwanini tuna fanya hitimisho hasi bila kupata maelezo ya ziada,kwa mwenye habari kamili siyo mambo ya kufikirika naomba atujuzi ilikuaje Mhe Hamad awepo pale tena?tena amekuwepo this time na siyo katika kipindi kilichopita?yaani napenda kujua kwanini alikuwepo?alijipekeleka?kwanini alikuwpo uwanjani na siyo ikulu ndogo?je aliishia hapo uwanjani au ailikuwa na mihadi na Jakaya?tusikimbilie kwenye kulaumu na kutukana(kuhukumu) wakati hatuna taarifa za kutosha!
 
Sometimes hawa viongozi wanaboa sana; muwekezaji anaona na rais ataheshimu wengine na taratibu za nchi kweli..this is pathetic..
 
Hamad Rashid is a traitor to democracy!

Maalim+seif.jpg
 
ccm wanafanya mambo kama tamthilia vile,hapo lengo lao ni kumaliza serikali ya mseto zanzaibar ifikapo 2015,hamad atapata support sana kutoka ccm na wale wanaodharau kuwa anapoteza muda wanajidanganya!!ataipasua cuf then ccm watashinda kiurahisi,kumbuka tofauti ya ushindi wa wazanzibar uwa ni kura chache sana hata elfu 10 hazifiki,na hamad akianzisha chama hawezi kupata watu wa ccm atawachukua wa cuf hiyo hiyo,na hamad akianzisha chama kamwe hawezi kukosa kura 50,000 kwenye uchaguzi mkuu na hizo zitakuwa iliyikuwa cuf na hapo ccm itashinda kwa kishindo.

Mkuu kiche
Kama ni mfuatiliaji wa Chaguzi za Tanzania ni utata na mchakachuo tu....Kushinda kwa kishindo(kuiba kura,kubadilisha matokea au kuchakachua majumuisho ya kura) ndio jambo pekee linaloipa ushindi CCM, BARA(Tangayika) na Zanzibar.

Tokea mfumo wa vyama vingi kuanza, CCM haijawahi kushinda uchaguzi mkuu, inatangazwa tu kuwa imeshinda kwa mizengwe ya TUME ZA UCHAGUZI na vyombo vya usalama wa Taifa.

Hapa zikipatikana Tume huru za uchaguzi ndio utasikia mziki wake. Magamba yatodondoka yenyewe, hayatahitaji kuvuliwa!
 
kama kawaida yako na chuki zisizo na mpango, ulitakiwa utizame bunge session ya asubuhi then ukoment huo utumbo wako hapa. Honorable Hamad Rashid always ni mtu wa principles hawezi kuacha majukumu yake kama mbunge eti kisa tu anahofia kelele za wapumbavu kama wewe, skia kwa taarifa yako Hon. Hamad R. ameleta investor ambao baada ya president kupata data zao akahitaji kuwaona...VP una la ziada?!
NON SENSE

Nimeshakufahamu ujio wako wa kuwepo hapa na ni upande upi unawakilisha, kwa hiyo hunipatishi tabu tena!!!
 
Mimi nimebakia nashangaa hebu ngojea kesho nisikie wanasemaje .I love JF hakika kwa ushapu wa habari duh !!!
 
Mmmmh.. Hao wabwanga wote majini! mi bado nipo kwa ma-dr na machungu ya umeme! haya maisha bana... nimepoteza rafiki yangu kipenzi kwa mgomo wao. Haya bwana, mi mnyonge CCM mshaninyonga haki yangu mnipe basi. Hata life mnabana?
 
Duuu!! ama kweli siasa si hasa...
ya ngoswe muachie ngoswe..
hamad == shibuda?

Hapo aliyekosekana ni Shibuda

HAMAD RASHID sialikua CCM B sasa kwanini asilalamike mbele ya mwenye kiti wao....weunafanya mchezo nini yani MAMA(CUF) akikuwakia siunamshitaki kwa BABA(CCM)....Ila sijajua protocal imekaaje ampaka nae aruhusiwe kumpokea RAIS....Yani ni fujo tupu

tiss in action

Waliokuwa na mashaka na maamizi magumu ya CUF, see with your own eyes!

Mwacheni yakhe ! Awasemee walomtenda akina maalim seif kinyume na walivokubaliana na ccm !

Muulizeni alipokwenda pemba peke yake na ndege ya atc nani alilipa gharama za kukodi ndege hiyo ? Si tunavojua atc haiendi pemba ati !

Samaki walana vao kwa vao !

Anaomba nafasi ya kuhamia kwao na aendelee kuwa mbunge

ama kweli

kujipendekeza 2.

Jk anampongeza hamad rashid kwa kazi nzuri ya kukiuwa chama cha cuf, pia wanaweka mambo sawa ili h.r arudi ccm au aanzishe chama kipya.

Hamad Rashid is a traitor to democracy!

Labda kile chama kipya atakachoanzisha kitakuwa nyumba ndogo ya CCM!

ccm wanafanya mambo kama tamthilia vile,hapo lengo lao ni kumaliza serikali ya mseto zanzaibar ifikapo 2015,hamad atapata support sana kutoka ccm na wale wanaodharau kuwa anapoteza muda wanajidanganya!!ataipasua cuf then ccm watashinda kiurahisi,kumbuka tofauti ya ushindi wa wazanzibar uwa ni kura chache sana hata elfu 10 hazifiki,na hamad akianzisha chama hawezi kupata watu wa ccm atawachukua wa cuf hiyo hiyo,na hamad akianzisha chama kamwe hawezi kukosa kura 50,000 kwenye uchaguzi mkuu na hizo zitakuwa iliyikuwa cuf na hapo ccm itashinda kwa kishindo.

Mtakumbuka kuwa wakati wanaunda huu muungano ccm walisema si wa kudumu,kwa mtu asiyeifahamu ccm,ccm itawagombanisha kisha watafanikiwa kwenye malengo yao,subiri muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi.

Kumbe Maalim Seif aliona mbali sana kuamua kumtimua huyu jamaa kwani kajionyesha dhahiri kuwa sio CCM B bali ni CCM A...

Nyie vimeo vya JF hapo juu

someni hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ea-jk-kuitisha-kikao-cha-dharura-airport.html

JF isiwe kijiwe cha kusema lolote lile...mnahalibu sifa ya jukwaa letu..ebo!!!
 
Chadema itakuwa imewauma sana picha hii.

Katika mafala wewe ndo no moja. Chadema umesikia wapo kwa ajili ya kujipendekeza kwa jk. Ukiwaona na jk ujue wanampa darasa la nini afanye kwa manufaa ya Taifa. Ziara za ikulu zimeleta manufaa kiasi mpaka wabunge vilaza wanataka kugoma
 
Sometimes hawa viongozi wanaboa sana; muwekezaji anaona na rais ataheshimu wengine na taratibu za nchi kweli..this is pathetic..

kama uwekezaji huo una tija kwa jamii sidhani kama ni vibaya kwa mhusika kuonana na Rais kwani hiyo ni sehemu ya kazi zake, kuhakikisha anafanya kila awezalo kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Kwa aina ya idea waliyokuja nayo hawa wageni kwa namna moja ama nyingine wameifungua serikali macho na kuona kuna uwezekano wa kusaidia wananchi kujikwamua katika hali hii ngumu ya maisha hasa baada ya hali halisi kuwaendea vibaya chama tawala baada ya kile walichokuwa wanapigia kampeni 'maisha bora kwa kila mtanzania' ambayo kwa sasa imekuwa 'bora maisha kwa kila mtanzania'
 
Du! bonge la shavu kwa mh! Hamad Rashid endelea hivyo hivyo baba waache hao CUF washangaeshangae! Wakishastuka umewaacha mbali!

kwa jitihada kama hizi ndio najiuliza wale ChukiUbinafsinaFitna wanajitambua kweli? mtu anazungumza ukweli wa kwamba chama kinakufa wao wanadai ooh MSALITI naamini hawajitambui na kama wanajitambua basi wako pale kwa maslahi yao zaidi. Tunahitaji kuin'goa ccmfsd madarakani lakini kwa akili hizi za viongozi wetu wa upinzani 'KAZI BADO PEVU'
 
Wasiwasi wangu isije ikiwa ni wale wasionatija kama wawekazaji wengine ambao imekuwa shubiri kwa taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom