Wakati JK akionya kuhusu viongozi wanaonunua uongozi kuna wanaomsuta kwamba hana 'moral authority' kuzungumzia suala hilo kwani hata yeye mwenyewe na watu wake wengi wanaomzunguka walipata uongozi kwa njia hiyo hiyo.
Sijui Great Thinkers mnalionaje hili.
Sijui Great Thinkers mnalionaje hili.