JK alipokuwa akichekelea mgao wa umeme jana!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,397
jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea mabwaya yajae alianza kutabsamu na alipofikia kutaja mgao akacheka kwa nguvu mapka mishipa ikamtoka usoni ,na kwa mshangao viongozi wa dini nao wakac heka kwa nguvu ,sijui walichekeshwa au walimcheka! Cha kusikitisha ni ile hali ya kucheka akilitaja janga kuu linalorudisha nyuma uchumi wetu .....Ni hulika gani hiii ya kuchekacheka pasipo stahili! au ana ugonjwa wa kucheka ,au kujichekesha,au kuchekacheka!
 
Natamani ningeliona picha hili ili niwe na comment nzuri

GO9G0875.JPG
 
Mwenzenu anajiandaa kwenda Washington dc kushereke uhuru watanganyika, mbna nyinyi wa'tz mnapenda kumsumbua mzee wa watu mwenzenu ndoto yake ilkuwa aje kuwa rais kafanikiwa hayo mengne ni yenu.
 
Hivi bado viongozi wa dini wanahudhuria mwaliko wa jk? Kuna nini cha maana watakipata kwa huyu jamaa?
 
jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea mabwaya yajae alianza kutabsamu na alipofikia kutaja mgao akacheka kwa nguvu mapka mishipa ikamtoka usoni ,na kwa mshangao viongozi wa dini nao wakac heka kwa nguvu ,sijui walichekeshwa au walimcheka! Cha kusikitisha ni ile hali ya kucheka akilitaja janga kuu linalorudisha nyuma uchumi wetu .....Ni hulika gani hiii ya kuchekacheka pasipo stahili! au ana ugonjwa wa kucheka ,au kujichekesha,au kuchekacheka!

Ningesema...ila naogopa ban!
 
acheni kukurupuka wakuu lazma utambue jk ni mtu ambae kutabasamu ama kucheka ni hulka ambayo kakua nayo toka utoto,ts smthng natural and tht does not reflect mnachojaribu kukisema anacheka ktk mambo ya msingi. .mbona wengine hununa kwenye mamb ya kuchekesha?the same point. .
 
katka hali ya kawaida ni lazima ku react kutokana na nature ya kile unachokiongelea, haiwezekani unaongelea kuhusu msiba halafu unacheka. hii inawafanya watu waone kuwa haupo serious na jambo unalolizungumza. huwezi ukawa unacheka na kila jambo esp kwa kiongozi mkuu wa nchi. utawezaje sasa kukemea maouvu, au utakemea kwa kucheka. hilo ni TATIZO.
 
JK ni mnafiki kupindukia,hivi wa tz tutategemea mvua mpaka lini kuzalisha umeme!hivi hakuna kweli wabunifu wa kubuni njia mbadala ya kuondoa hii kero na adha wanayopata wananchi kweli!!!Rais au kiongozi gani huyu asiyekuwa mbunifu kutatua matatizo ya chi yake!!!!Nilimcheki jana,nilishikwa na hasira mpaka nilibadilisha chanel ya kuangalia.I hate hate hate
 
KJ ni mzigo tena mzito kwa taifa hili!
<br />
<br />
Kweli?! nasikia eti yeye halipi:- kodi, bili za umeme na maji, bili za simu, nauli ya kwenda kazini (daladala), mshahara wa house-boy/girl, n.k, n.k. Kama ndivyo, basi ni kweli yeye ni zigo lisilobebeka na walala-chini/hoi.
 
acheni kukurupuka wakuu lazma utambue jk ni mtu ambae kutabasamu ama kucheka ni hulka ambayo kakua nayo toka utoto,ts smthng natural and tht does not reflect mnachojaribu kukisema anacheka ktk mambo ya msingi. .mbona wengine hununa kwenye mamb ya kuchekesha?the same point. .

Sixgates avater yako imenikumbusha wakati ule wa kampeni za 2010, baada ya JK kuanguka pale jangwani kuna mdau alipendekeza kuwa watu wa usalama wamtengenezee JK helmet ili kumkinga asije pata athari katika ubongo kutokana mieleka aliyokuwa anapiga kila siku,ndipo mdau mmoja alipendekeza helmet hiyo inayoonekana katika avater yako.Ni ubunifu ulioje .
 
nilimtazama alipokua ana kenua, honestly i was very surprised on top of that wakati waziri wake wa fedha mwenye asili ya Lilongwe alipokua akisaini makubaliano ya mkopo ya dola 25o mil ati aki kiri kua hizo hela zitaliwa na wachache akasema "unajua hapa bongo, lazima kitu kama hicho kitokee" i was extreemly shocked, waziri wa fedha anasema hivyo, aixee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom