Jipatie: Kitabu cha dua na mafanikio ya ukweli

Herbal_Remedies_4df765613d463.jpg

HERBAL REMEDIES FOR HEALTH AND WELL-BEING
By Marcus T. Bottomley

Improvement of eyesight; alleviation of eye ailments... Relief from diarrhoea... Control of flatulence and digestive disorders... Rejuvenation of sexual organs... Alleviation of constipation and piles... Liver and lung disorders... Tumours... Dropsy... Inflammation of tonsils... Kidney, Urinal and bladder problems... Insomnia... Neuralgia... Heart... Varicose veins... Gallstones... Chest... Asthma... Bronchitis... Menstuation and female disorders; plus a host of other health problems, which can respond to herbal treatment. Everything you need to know is in this book.


Haya na Kitabu Cha kutibu Tiba za Mitishamba kwa kila Maradhi kwa mwenye kukitaka awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) Bei yake ni Dola 70.
 
Mkuu Mzizi hiko kitabu mwandishi ni wewe mwenyewe?
(Samahani kama hilo swali lilishajibiwa kwenye posts zilizotangulia)
 
Mkuu Mzizi hiko kitabu mwandishi ni wewe mwenyewe?
(Samahani kama hilo swali lilishajibiwa kwenye posts zilizotangulia)
Mkuu@.Ndibalema Bila samahani Mwandishi sio mimi mkuu Mwandishi ni Mzungu Hivi vitabu vipo ndani ya vitabu vya kizamani vya Kiyahudi ila huyu Mzungu kavitafsiri kwa lugha ya kiingereza ndio amekuwa yeye sasa ndio Muandishi wa hivyo vitabu.
 
Haya tena kitabu kingine cha Miujuza mikubwa kwa wale wanaotaka mambo yao yaende haraka haraka kimasha ninawashauri watumie kitabu hiki jamani changamkeni mufanikiwe kimaisha yenu .kinauzwa Dola 70.

POWERFUL_MAGIC_W_4e37bd150f038.jpg


POWERFUL MAGIC WORDS


140 Amazing Mantras And Chants That Can Fulfil Your Fondest Dreams

POWERFUL MAGIC WORDS THAT WORK WONDERS

140 Amazing Mantras And Chants That Can Fulfil Your Fondest Wishes!
Now you can command what you want to happen with the powerful magic words in this amazing new book!

According to author J. Pike everything in the universe has its own vibration, a vibration which is effected by certain so called 'magic words'. Once these words are spoken you have control of these vibrations!

Mr Pikes book gives you no less than 140 different magic words covering almost every imaginable aspiration!
You can now heal yourself of whatever it is that is making you ill... You can now command the respect of people

who may have previously lightly of you. YOU CAN NOW HAVE VIRTUALLY WHATEVER YOU SEEK IN LIFE BY SPEAKING THE MAGIC WORD WHICH CONTROLS IT!
Results are normally seen, says Mr pike, within 7 to 10 days, although results within a shorter period have been reported.

You will find in this book the precise magic word for: Increasing another person's sex drive... Enhancing your creative and artistic potentials... Interpreting the meaning of dreams... Commanding the respect of employers...

Strengthening your memory... inducing astral travel... Finding a lost object... Curing addiction to a bad habit... Becoming famous... Discovering secret enemies... Reversing curses; Defeating black magic... Protecting your

possessions... Succeeding in a job interview... Controlling temper... Becoming happy and tranquil.
So great is the psychic energy in these words that after intoning the appropriate word J. Pike levitated a large table off the ground.

It seems crazy that by merely speaking certain words objects and events can be influenced! In the Bible we read that God SAID ' let there be light' and it was so. God spoke things into existence! Of course the original

words of Genesis would not have been in English, but would - ultimately - have been from the primal language of the unconscious, the language from which the strange words in this book came!
These words trigger the psycho-kinetic powers of your unconscious mind, and have incredible power!

Such power says Mr Pike, should not be use lightly. Under no circumstances, he says, should these words be used for fun or amusement. They are intended to help you seriously in life, to help you achieve the things that are important to you, he says.

You wernot put on this earth to struggle alone. You have spirit guides to help you, and you can gain their help when you speak the words in this book. It seems crazy that all this can be possible, but until you try you will not be able to believe!

You can speak the word that will suddenly make another person desire you... you can possess the power which will - miraculously in the eyes of others - safeguard you from physical danger. This, and much more, is possible!

GIVES YOU AMAZING PSYCHIC POWERS!

Mantra for making yourself or an object invisable!
Mantra for success in pathworking!
Chant for regressing into past lives!
Chant for hearing spirit voices and angels!
Chant for seeing the human Aura!
Chant for entry into the Akashic library!
Chant for information about your next incantation!
Chant to summon your guardian angel!
Mantra for sending telepathic messages to other people!
Mantra for psychometric power!
Mantra for contacting the spiritual masters!
Mantra for clairvoyant abilities!
Mantra for direct contact with God source!
Mantra for moving objects with the mind alone!
Mantra for inducing etheric protection!
Mantra for developing mediumistic powers!
Magic word for summoning salamander spirits!
Mantra for activating the 7 chakras
CHANT TO RID YOURSELF OF AN UNWANTED PERSON!
MANTRA TO PASS EXAMS!
CHANT TO FIND A JOB!
CHANT TO CONTROL THE WEATHER!
CHANT FOR SUCCESS IN A LEGAL DISPUTE!
CHANT TO OVERCOME SHYNESS!
CHANT FOR A FERTILE WOMB!
CHANT TO OVERCOME IMPOTENCE!
CHANT TO TURN AN ENEMY INTO A FRIEND!
CHANT TO BOOST SEX DRIVE!
CHANT TO BRING WINNINGS AT BINGO, LOTTO, POOLS ETC!
POWERFUL MAGIC WORDS THAT HEAL!
The chant that heals ARTHRITIS!
Chants that relieve ASTHMA AND BRONCHITIS!
The chant that relieves BLADDER PROBLEMS!
The magic word that heals SKIN DISORDERS!
The chant that STOPS HEADACHES!
The chant that cures STOMACH DISORDERS!
The chant that heals SORE GUMS!
The chant that eases TOOTHACHE!
The magic word that affects SEXUALLY TRANSMITTED DISEASES!
The chant that overcomes AGROPHOBIA!
The magic word that heals TORN MUSCLES!
The chant that prevents HAIR LOSS!
The chant for overcoming CLAUSTROPHOBIA!
The chant that reduces SWELLINGS!
The magic word that overcomes NERVOUSNESS!
The magic word that lowers HIGH BLOOD PRESSURE!
The chant that prevents INFLUENZA!

Wasiliana na mimi kwa Barua ya Pepe Email yangu ni hii hapa (fewgoodman@hotmail.com)


Dua Maombi 140 YA Hizi Duwa hukupa wewe Madaraka na miujuzia ya kweli



Dua ya Mantra kwa ajili ya kufanya wewe mwenyewe auujifiche mtu asikuone kitu!

Mantra kwa mafanikio katika kufanikiwa katka kazi !
Chant kwa Kurejesha katika maisha ya zamani!
Chant kwa kusikia sauti roho na malaika!
Chant kwa ajili ya kuona roho ya binadamu!
Chant kwa ajili ya kuingia ndani ya maktaba Akashic!
Chant kwa habari kuhusu dua yako ijayo!
Chant summon mlezi wako malaika!
Mantra kwa kutuma ujumbe telepathic kwa watu wengine!
Mantra kwa nguvu psychometric!
Mantra kwa kuwasiliana na mabwana kiroho!
Mantra kwa uwezo clairvoyant!
Mantra kwa ajili ya kuwasiliana moja kwa moja na chanzo Mungu!
Mantra kwa ajili ya kusonga vitu kwa akili peke yake!
Mantra kwa inducing ulinzi etheric!
Mantra kwa ajili ya kuendeleza nguvu mediumistic!
Uchawi neno kwa mayowe roho salamander!
Mantra kwa inleda chakras 7
Chant ili kuondoa WENYEWE YA MTU zisizohitajika!
Mantra kupita mitihani!
Chant KUTAFUTA Kazi!
Chant kudhibiti hali ya hewa!
Chant YA MAFANIKIO KATIKA mgogoro KISHERIA!
Chant kuondokana shyness!
Chant YA tumboni rutuba!
Chant kuondokana Impotence!
Chant kugeuka adui KATIKA RAFIKI!
Chant kuongeza SEX DRIVE!
Chant YA KULETA winnings AT Bingo, Lotto, POOLS NK!
KUU MAGIC MANENO KWAMBA kuponya!
Mkarara ambayo huponya arthritis!
Chants kwamba kupunguza pumu na mkamba!
Mkarara ambayo relieves MATATIZO kibofu!
Neno uchawi kwamba huponya ugonjwa wa ngozi!
Chant kwamba ataacha maumivu ya kichwa!
Chant kwamba tiba ya tumbo matatizo!
Mkarara ambayo huponya ufizi kidonda!
Chant kwamba eases toothache!
Neno uchawi ambayo huathiri magonjwa ya zinaa!
Chant kuushinda AGROPHOBIA!
Neno uchawi kwamba huponya misuli Torn!
Mkarara ambayo inazuia HAIR UPOTEVU!
Chant kwa ajili ya kukabiliana CLAUSTROPHOBIA!
Chant kwamba inapunguza alivimba!
Neno uchawi kuushinda woga!
Neno uchawi lowers HIGH BLOOD PRESSURE!
Chant kwamba kuzuia homa ya mafua!

Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na mimi kwa Barua ya Pepe Email yangu ni hii hapa (fewgoodman@hotmail.com)
 
Dua nyingi zilizopo ndani ya kitabu hikichangu zimetoka ndani ya Biblia kama umekipenda nunuwa ujaribu bahati yako achana na kusikiliza watu wengine hawajuwi kitu zaidi ya kupinga Haa Bwana YESU alipingwa na Wayahudi itakuwa mie MziziMkavu? nunuwa kama umekipenda mkuu Paxman

Mkuu hakuna cha U FreeMason hapa acha maneno yako ya Pumba wewe Top Thinker

Nimefuatilia sana maelezo yako, unaongea mambo ya uongo/hila kwa kutumia soft language na kufunika uongo wako kwa kutaja Biblia/zaburi! Wewe ni nabii wa uongo uliwefuzu kweli!
1. kama kitabu chako si freemason/waabudu shetani je ni mungu gani anayeombwa? hakika si huyu Bwana Yesu Mwana wa Mungu!
2. Kwa nini hutaki kutaja detail za mungu wako huyo anayeombwa kupitia kitabu hiki badala yake unakimbilia kueleza matatizo ya watu na jinsi yanvyopata majibu!
3. Unasena baadhi ya maneno ni kutoka kwenye zaburi je sehemu nyingine inatoka wapi?
4. Kama wewe ni mkweli na unakubaliana na hiyo Biblia unayodandia kwa nini husipromote Bible yenyewe badala ya kitabu hicho?
 
Dua nyingi zilizopo ndani ya kitabu hikichangu zimetoka ndani ya Biblia kama umekipenda nunuwa ujaribu bahati yako achana na kusikiliza watu wengine hawajuwi kitu zaidi ya kupinga Haa Bwana YESU alipingwa na Wayahudi itakuwa mie MziziMkavu? nunuwa kama umekipenda mkuu Paxman

Mkuu hakuna cha U FreeMason hapa acha maneno yako ya Pumba wewe Top Thinker

Nimefuatilia sana maelezo yako, unaongea mambo ya uongo/hila kwa kutumia soft language na kufunika uongo wako kwa kutaja Biblia/zaburi! Wewe ni nabii wa uongo uliwefuzu kweli!
1. kama kitabu chako si freemason/waabudu shetani je ni mungu gani anayeombwa? hakika si huyu Bwana Yesu Mwana wa Mungu!
2. Kwa nini hutaki kutaja detail za mungu wako huyo anayeombwa kupitia kitabu hiki badala yake unakimbilia kueleza matatizo ya watu na jinsi yanvyopata majibu!
3. Unasena baadhi ya maneno ni kutoka kwenye zaburi je sehemu nyingine inatoka wapi?
4. Kama wewe ni mkweli na unakubaliana na hiyo Biblia unayodandia kwa nini husipromote Bible yenyewe badala ya kitabu hicho?
mkuu meddie samahani mimi sikuja ku Promote Biblia. mimi ninaeleza namna ya Kitabu changu dua nimezzipata wapi? wewe ukitaka ku Promote Biblia hakuna mtu wa kukukataza kila mtu ana uhuru wake kuzungumza na kutangaza kitu unahotakiwa tu usivunje sheria za humu ndani ya Jamii forums ukiweza jaribu kukinunuwa hukuweza waache wenzako wajaribu. sisi Wa Tanzania ni wepesi kupinga kitu pasipo na Elimu nacho tuna maneno mengi lakini vitendo ni vidogo sasa kinachotakiwa mkuu ukiweza nunuwa kitabu kisha ndio ulete hoja zako usipoweza bora unyamze sio kuleta ushindani wa Simba na Yanga mkuu fanya vitendo sio kuletamaneno yako ya Pumba hapa samahani kama nitakukwaza.
 
Last edited by a moderator:
Wakati unaburn candles unamuomba nani?
Swali: 1. Suppose watu kumi wameomba kushinda top award ya bahati nasibu,itakuwaje?
2. Hakuna sala ya kumfanya Wassira asilale bungeni?
No 1 is a logical question, i like it.
 
No 1 is a logical question, i like it.
Mkuu Ellie Nimesha mjibu mbona hilo swali lake huyo aliyeulizawakati unapo waha mshumaa una muomba mungu kwani wale wanaowasha mishumaa makanisani wanamuomba nani? ninaomba jibu toka kwako mkuu? Dua zilizokuwepo ndani ya vitabu vyangu zimo ndani ya biblia agano la kale na tena ni dua nyingi tu zimetoka katka kitabu cha David kitabu cha Zaburi the book of psalms for worship ukifuatilia kwenye vitabu vyangu utaziona hizo dua zinazo toka katka kitabu cha Zaburi the book of psalms for worship. Ukiamuwa kupinga wewe pinga tu hakuna matatizo wenzao wanafaidika na kitabu changu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ellie Nimesha mjibu mbona hilo swali lake huyo aliyeulizawakati unapo waha mshumaa una muomba mungu kwani wale wanaowasha mishumaa makanisani wanamuomba nani? ninaomba jibu toka kwako mkuu? Dua zilizokuwepo ndani ya vitabu vyangu zimo ndani ya biblia agano la kale na tena ni dua nyingi tu zimetoka katka kitabu cha David kitabu cha Zaburi the book of psalms for worship ukifuatilia kwenye vitabu vyangu utaziona hizo dua zinazo toka katka kitabu cha Zaburi the book of psalms for worship. Ukiamuwa kupinga wewe pinga tu hakuna matatizo wenzao wanafaidika na kitabu changu.
Ok, Mkuu Mzizimkavu mimi sikupingi ila I was just looking for facts behing the whole thing! so nipo very interested na hii kitu really, can u give me more of that....
 
Ni kweli uyasemayo lakini kutafsiri huku kutoka Lugha ya Kiingereza kuja lugha ya Kiswahili huku nilipo itakuwa sio jambo rahisi ila kama unakitaka ninaweza ninaweza kukusaidia kwa huko

huko nyumbani kuna Mwanangu ataweza kukusaidia kutafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili nitakupa contact zake utawasiliana nae na ataweza kukusaidia kukifasiri kutoka Kiingereza kuja Kiswahili. Kitabu hiki kukipata si

Rahisi na hiki kitabu kina Thamani kubwa mimi mwenyewe ninashangaa nimekipata kwanjia ipi? ndio maana na mimi ninataka kuwapa Wenzangu faida Sio huko kwetu watu wanakimbilia kwa Mganga wa Kienyeji au Mchungaji au sheikh

wakati kumbe dua unaweza kujifanyia mwenyewe kwa nia zako na ukaweza kufanikiwa ili mradi uwe an imani ya ukweli Mwenyeezi mungu atakusaidia. Kwani hao Waganga wa Kienyeji,Wahungaji na Masheikh si Wana muomba

Mungu kwa Dua kwanini wewe ushindwe kumuomba Mungu akusaidie kwa kupitia dua zake Maalumu? Mkuu NTINGINYA Ukiwa Teyari wasiliana namimi nitakusaidia kwa kila hali ondosha wasi wasi nitumie Email Address yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com).
MziziMkavu mkuu naomba unifafanulie hapo hujui ulipokipata ,inamana umekipata kwa miujiza yaani spiritualy jinsi inavyosemekana quran na biblia zilishushwa?na hiki ni hivo hivi nijibu tafadhali mkuu.hapo kwenye red
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu mkuu naomba unifafanulie hapo hujui ulipokipata ,inamana umekipata kwa miujiza yaani spiritualy jinsi inavyosemekana quran na biblia zilishushwa?na hiki ni hivo hivi nijibu tafadhali mkuu.hapo kwenye red
Mkuu nivea Sikukjipata kwa Miujiza kunamtu alikuwa nacho nikamkuta nacho

na nilipokisoma nikaona ni kitabu kizuri kwa matatizo yetu ya binadamu ya kila siku watu wanakwenda kwa

wachungaji na Masheikh na Waganga wa kienyeji ili waombewe Dua na maombi badala yake kumbe unaweza

kujiombea wewe mwenyewe tu pasipo na kupitia kwa Wachungaji au Masheikh au Waganga wa Kienyeji ndio

nikaweka hapa ili na watu wengine wapate faida kama mimi niliyo pata faida ya kitabu hiki.

nitakipateje je kuna punguzo
Mkuu kasumbaleza Ukihitaji hiki kitabu cha dua Mafanikio wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie barua ya Pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Hakuna punguzo la Bei kutokana na mimi kutokuwepo hapo nyumbani na kutokana na gharama za usafirishaji wa hicho kitabu ili kiweze kukufikia hapo ulipo na mimi nipo nje na huku nlipo ndipo kinapatikana hiki kitabu.
 
Mkuu Kitabu hiki kinauzwa dollas 22 tuu. Wewe hiyo 70 hata ukiweka shipping and handling bado ni WIZIII MTUPUUU
 
Nikopeshe nikitumie kwa kuomba utajiri nikifanikiwa ntakulipa dola 70 zako
Mkuu KATUTU Hakuna mambo ya kukopeshana Mkuu samahani unazo pesa nitumie Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com Huna pesa basi.

Sawa kabisa wewe fanya kutukopesha, kukifanikiwa tunakulipa hata kwa riba;-)
Mkuu Captain22 hujaona huko nyumbani Tanzania yameandikwa hivi matangazo (MKOPO KESHO) samahani ukiweza kununuwa kitabu nitumie Email yangu hii fewgood@hotmail.com hukuweza kununuwa achana nacho kitabu waache wenye pesa wanunuwe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom