jipatie gari kwa bei poa

Suzuki carry ya mwaka 2002 - 2003 bei gani?
Naomba bei ya manual na automatic.......900$ freight 1000$ ukaguzi 300$ kulipeleka bandadarini linabebwa kwa 100$ inurance 50$ likifika dar kodi 1,700,000 shilling port charges 180,000 shillings namba 39,000 masasi insurance inategeme unataka ipi zakawaida 40,000
 
@mtumpole ukiwa na maana gani?kwenye namba isome mtumpole?inawezekana utalipia milion mbili shilling badala ya T 135 BSI itasoma mtu mpole kama unazungumzia docoment lazima isome jina la miliki wa au importer
 
nisasan Xtrail ya mwaka 2004 2005 kodi yake 50% 15, m shillings ya 2003 14 m shillings

Gari natafuta mimi, alafu wewe nakulipa pesa ya ushuru kunilipia au inakuwaje? Au labda sijakuelewa.
 
SWIFT M 8 shilling CRESTA YA MWAKA 2002 SIIONI PIA VISTA UJASEMA NI VISTA GANI ZIPO NYINGI .
 
mi nataka tractor, 4wd, horse power 2500 na kuendelea. Full option.

Au tractor sio gari? Mi siwezi kununua gari wakati ninalima kwa mkono.
 
mi nataka tractor, 4wd, horse power 2500 na kuendelea. Full option.

Au tractor sio gari? Mi siwezi kununua gari wakati ninalima kwa mkono.
Hahahaaaaaa B!
Heri ya mwaka mpya aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom