Jipatie CV (Wasifu) na Logo kwa bei nzuri

iPoint

Member
Sep 5, 2021
11
0
Jipatie CV (Wasifu) na Logo kwa bei nzuri.

CV (WASIFU) - Huandikwa kuonyesha uzoefu wa kazi, elimu, ujuzi, mafanikio yako ya kitaaluma, nia na malengo yako ya baadae.

LOGO - Logo husaidia katika kuitambulisha kampuni au bidhaa. Unapoiona Logo mara kwa mara unakuwa na uwezo wa kuitambua haraka na kuihusisha na kampuni/ biashara.

Logo inaweza kusaidia katika kujenga tofauti kati ya kampuni na washindani wake vilevile kuonyesha thamani na huduma bora na husaidia katika kujenga uaminifu.

Wasiliana nasi: pamojalite@gmail.com au Inbox.

Baadhi ya kazi zetu

20230228_220340.jpg
 
Back
Top Bottom