Jinsi ya kutengeneza pesa mpya kipindi soko la Cryptocurrency linapokuwa chini

Mr Fresh

Member
May 30, 2021
22
71
Japo thamani nzima ya soko la crypto imeshuka wiki hizi chache kutoka dola za kimarekani 2.4 Trilion mpaka $1.7 Trillion. lakini bado soko hili linakupatia nafasi nyingi za kutengeneza pesa kupitia holdings zako.

Make your money go to work now..

Hizi ndo njia ambazo zinaweza kukufanya uendelee kutengeneza pesa kipindi soko lipo chini;

1. Yield farming/staking
Ingia pancakeswap,binance exchange,krakens,sushiswap n.k kisha nenda kazilock pesa zako zikuzalishie pesa mpya kwenye wallet yako.unaweza kulock kuanzia siku 10,15,30,60 hadi siku 90 una ukapata APY za
41% mpaka 100%.

2. Play 2 Earn NFT games
Tumia time yako ya ziada kuplay crypto games ambazo zinakupa malipo unapowin certain levels,mifano ya hizo games ni axie infinity, Gods Unchained, splinterlands n.k.

3. Mining
Unaweza kununua mining hardwares kama ASIC miners ukazifanyia set up na kuanza kutengeneza pesa kila siku kila saa.hii itategemea na how much capital na nafasi pia uliyonayo.

4. Airdrops
Unaweza kushiriki token au Nfts airdrops kupitia discord channels mbalimbali, Twitter pages za nfts, au reddit na ukaweza kupata free nfts airdrops baada ya kufanya tasks kadhaa na mwisho wa siku ukatengeneza pesa

5. P2P crypto business
Unaweza kununua crypto stable currencies kwa bei ndogo mfano 2330 per USDT au BUSD kisha ukaziuza kwa 2380 kwa dola moja,na kuweza kujitengenezea faida zaidi ya shillingi 25,000 kwa siku,cha msingi ni kuzungusha volume isiyopungua dola 500 kila siku.
 
Nft game zina gharama sana kutengeneza hela mpaka uwekeze hela mfano crabada imenicost $4700 kutengeneza team ya crabs watatu,pegacy ina cost kununua farasi daah around 28K ila kwa siku napata return ya $850-900
 
5. P2P crypto business
Unaweza kununua crypto stable currencies kwa bei ndogo mfano 2330 per USDT au BUSD kisha ukaziuza kwa 2380 kwa dola moja,na kuweza kujitengenezea faida zaidi ya shillingi 25,000 kwa siku,cha msingi ni kuzungusha volume isiyopungua dola 500 kila siku.

Hapa nimetamani kujua wap unapata USDT kwa low price, maana ndio chimbo la P2P. Bila hivyo ni ngumu sana kupata faida ila kama unajua chimbo la kununua low price USDT na kwenda kuuza kwa high price , hii biashara ina pesa sana unaweza ukazungusha ata 100x kwa siku.

Kuna kipind nilijaribu kufanya P2P kule localbitcoin, nikawa nanunua BTC kwa usdt then nauza kwa EUR venezuela, nilikuwa anapata 10% kwa kila muamala na kipindi hicho BTC ilikuwa inapanda kila siku($66k). Ilivyoshuka wateja wakastop kununua BTC na ARBITRAGE TRADING ikapotea. Ukibahatika ukapata sehem wanauza USDT / BTC kwa bei chee na unajua sehemu ya kuuza bei juu unaweza kuwa tajiri ndani ya siku 30/90.
 
Ni application zipi naweza fanya arbitrage trading au ki vp
 
Back
Top Bottom