Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

duuuu hii mashkurra ndio nini..
Yes Mpendwa Nde''''' umetaka kujua ? sasa engeza kamusi yako:- Mashkurra inatokana na neno Shukrani = kwa mwanaume unamtolea Mashkurr na mwanamke unamtolea Mashurra !! Lugha ya Kiswahili bado kichangaa na itazidi kulelewa na kutunzwa na lugha mama ya kiarabu. hakuna shaka maneno tutawapangia kwa taratibu muwafaqa.Good luck.
 
Mhhhh! Ndio mara ya kwanza nasikia chapati za hamira, hongera zako fakhrina, ila kuna chapati za kukanda kwa kutumia samli nazipenda zaidi hizi ukilinganisha na zile za mafuta ya kawaida.

Mie huwa nakandia samli naichanganya na extra virgin olive oil kidogo na maji ya baridi. Ila wakati nazikaanda natumia mafuta kdg tu...ntakuekea chapati zangu lol uzione
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes Mpendwa Nde''''' umetaka kujua ? sasa engeza kamusi yako:- Mashkurra inatokana na neno Shukrani = kwa mwanaume unamtolea Mashkurr na mwanamke unamtolea Mashurra !! Lugha ya Kiswahili bado kichangaa na itazidi kulelewa na kutunzwa na lugha mama ya kiarabu. hakuna shaka maneno tutawapangia kwa taratibu muwafaqa.Good luck.

nimekusoma bishosti kidawa..
 
Batan? Ndio nini?
Ukhtii Mashallah wee fanana kwa mapishi ... wapikite MTABAQIYA !! huko yaitwa Zanzipizza !!
get-12-2010-5b8i2gqq.gif
 
He he he, i wish my last born angekuwa wako, angefurahia zaidi

You are God sent.
can you believe nilitaka kuulizia recipe ya hii chapati ya ufuta?! Manake kuna mahali nanunua na wamegoma kuniambia. Natengeneza recipes ya line za healthy baking na hii ni nambari wani kwangu.

Muaaah! Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom