Du,hii shule imeingiliwa na F ya biology
kumbe wewe ni wa kike,basi hedhi niliipata hii mwaka jana nikajaribu kwa baadhi ya watu kama kumi wakafanya na wake zao na mimi nikafanya kwaka jana nikafanikiwa kupata motot wa kiume
mi avatar yako tu ila somo lako badoo!
Ni rahisi sana subiri siku ya tatu baada ya breed kuanza utaona utando mweupe na mzito sasa hapo unaweza kumpa mimba mkeo i mean kukojoa shahawa zako na mimba ya mtoto wa kiume itapatikana
Ni rahisi sana subiri siku ya tatu baada ya breed kuanza utaona utando mweupe na mzito sasa hapo unaweza kumpa mimba mkeo i mean kukojoa shahawa zako na mimba ya mtoto wa kiume itapatikana
Mbona naona tofauti nyingi!nijuavyo MUNGU ndiye anayempatia mtu mwanamke au mwanamme
mmmmmhhhhh! hii kakufundisha nani? cku ambazo mtu anaweza kupata mimba ni kuanzia cku ya 11 hadi 17 tng baada ya bleed na uhakika zaidi ni cku ya 14, hii yako cjawah kuckia!!!!
kumbe wewe ni wa kike,
dadangu lakini umetupeleka chaka!
siku ya tatu yai la kike linakua halina nguvu hivyo yai la kiume ndio lina tawala usichanganye imani na sayansi ni sawa na maji na mafuta
Kumbe u mweupe hivyo.....na ni siku a,mbayo kunakua na ute mweupe na mzito ukeni ambayo inaanzia siku ya tatu na kuendelea