Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,340
- 16,520
Last edited by a moderator:
hivi kwanini inaitwa michirizi ya utam...?...
Kuna dawa zake?
Tetete Miss Strong bana!!Wenzio wanainyonya mpk bas....
kuna michiri kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa mana hata niinapo huwa hainifurahishi kabisa.
Wizi mtupu, hamna dawa japo kuna oil zinazosaidia kupunguza
hiyo michirizi ulioiona ya mtu aliyejichubua na mavipodozi njoo kwangu nikuonyeshe michirizi yangu ya ngozi asilia inavyovutia
Hivi bro, wewe unataka kila binti unayemuona akufurahishe!???
Hivi bro,wewe unataka kila binti abaki alivyo hata kama ana tatizo linalotibika?
kuna michiri kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa mana hata niinapo huwa hainifurahishi kabisa.
Ungetoa tatizo na solution!!!!
Hivi bro,wewe unataka kila binti abaki alivyo hata kama ana tatizo linalotibika?
One's man trash is another man's treasure! - ever heard of it?