charldzosias
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,448
- 3,334
ata mimi uwa napenda gal mwenye io vitu.. hasa hasa iwe kweny wowowoWoi naipenda michirizi yangu haijawahi kunipa mawazo, bae anaiita mistari ya utamu
Ikoje hiyo mkuu?Michirizi ya utraam hiyo wewe inakukata stimu???umekutana na michirizi ya bonde la ufa wewe,.
picha iko wapi ?Michirizi ya utraam hiyo wewe inakukata stimu???umekutana na michirizi ya bonde la ufa wewe,.
Michirizi inakuwa mingi hadi unahisi ni TATOONawashauri wanawake wote wenye mistari makunyanzi matumboni mapajani na hata mikoni,Kama dawa za kuondoa hiyo midudu tafadhari iondoeni,hiyo mivitu inamaliza nguvu za kiume amini nawambieni,yaani nikikuta na hiyo midude lazima jongoo apoe na ili apate kuinuka tena lazima nianze kupeleka hisia zangu kwa Aisha au Ashura wasiokuwa nayo.
Sijui nanyinyi ni kitu gani ambacho mkikutana nacho kwa wanaume kinawakata Moto?
Nawashauri wanawake wote wenye mistari makunyanzi matumboni mapajani na hata mikoni,Kama dawa za kuondoa hiyo midudu tafadhari iondoeni,hiyo mivitu inamaliza nguvu za kiume amini nawambieni,yaani nikikuta na hiyo midude lazima jongoo apoe na ili apate kuinuka tena lazima nianze kupeleka hisia zangu kwa Aisha au Ashura wasiokuwa nayo.
Sijui nanyinyi ni kitu gani ambacho mkikutana nacho kwa wanaume kinawakata Moto?