KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Zama za wakoloni kweli walitumia nguvu kazi ya wananchi na rasilimali za nchi kujipatia utajiri mkubwa na matokeo yake leo ulaya hawashikiki kwa kila kitu.utamaduni huo umerudi tanzania na afrika kwa kuuza nchi kwa wawekezaji na kuandika mikataba ya kifisadi.bora yupi?