Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,143
7,912
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014.

Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam.


View: https://youtube.com/shorts/6JmbKH6pho4?si=ECXpdzIq1uj-h1G3

Hii staili ni simpo sana kujifunza na haichoshi maana kwa usiku ule inawezekana tutairudia kama mara 5 hivi.

Kama Waziri Ndumbaro ana hadi kadi hai ya uanachama ya Liverpool, sisi ni nani tushindwe kusapoti timu tunayoipenda tena ya Waafrika wenzetu tuliopambana pamoja kumuondoa mkaburu?

Nyongeza: Halafu nimegundua kwa mbaaaali hii style ina umayele fulani, ingawa hii ina unyama flani hivi classic kwa hiyo hata waliokandwa wanaweza kutujoini.
 
Waziri anataka tuwe na uzalendo Ila yeye anajinasibu ni mwanachama wa Liverpool yaani anajionyesha ni bonge la bogus Sasa kwanini ananizuia Mimi shabiki wa Simba ambaye ni mwanachama wa mamelody nisishabikie timu yangu
 
Waziri anataka tuwe na uzalendo Ila yeye anajinasibu ni mwanachama wa Liverpool yaani anajionyesha ni bonge la bogus Sasa kwanini ananizuia Mimi shabiki wa Simba ambaye ni mwanachama wa mamelody nisishabikie timu yangu
Kazingua halafu anataka kujificha kwenye kichaka cha kuwa mwanachama wa Simba matokeo anajisnitch zaidi kwa kuitaja Liverpool. Naamini kabla ya Ijumaa ijayo atakuwa ameomba radhi au kutengua kauli zake.

Anajitapa kuwapigia simu na kuwakemea ITV kisa wamemuhoji mtu amevaa jezi ya Mamelodi. Hili wengi hawajalisikia.
 
Uzuri ni kwamba mechi inayotangulia ni ya Al Ahly lakini watu badala ya kuwaza ya Ijumaa mnawaza ya jumamosi shughuli isiyokuhusu
MECHI YA JMOSI KUBWA MNO,GAME YA IJUMAA HAINA MVUTO,MWARABU ANAKUTANA NA TIMU KIBONDE KULIKO WOTE KWENYE HII ROBO...MWARABU NUSU FAINALI 100%
 
Back
Top Bottom