Jinsi Mkapa alivyokuwa makini hii ni moja ya barua zake za kujibu hoja dhidi ya maimam

Status
Not open for further replies.
Miafrika jamani ama kweli Ndivyo Ilivyo..
Ebu rudieni kusoma vizuri, Mkapa anajibu hoja ya Waislaam waliposema:-
"Waislamu hatuna moyo tena na Serikali ya nchi hii na vyombo vyake vyote likiwemo Bunge na Mahakama".

Sasa mnachokisifia hapa ni kipi? haya sii maneno tunayoyasema watu wote kila siku au kwa sababu yalisemwa na waislaam! Ni majibu gani ya kuridhisha ama yenye kuonyesha ukomavu hapa.. mimi sioni isipokuwa siasa za udini mtupu.. rahisi kwenu kuwaona waislaam ktk hali inayowakandamiza hata nyie, mlichoka na mnaendelea kuchoka na utawala wa CCM na Mkapa?..

Yaani mnadanganywa kirahisi na maandishi ya mtu kwa sababu tu alikuwa akijibu upande wa pili usiokuhusu wewe kama Mkristu.. Ujinga mwingine bana ndio maana JK atatawala hadi 2015 na CCM itatawala milele maanake hapa kinachofuata ni CCM kumweka mgombea Mkristu Dr. Slaa anapokonywa washabiki na umaarufu.
..................... maneno mutiribu ............ maneno quntu !

Lady Plse.. read between the lines. I said we all had no confidence na serikali ya Mkapa na Bunge! Kwa hiyo waislaam wakisema ndio inaleta tofauti gani. You voted for Lipumba right, tell me why? if not for the same reason..Oooh! and I quote You had FAITH in.... not Mkapa and his Cabinet I guess!

Nachoshindwa kuelewa hizi mada zetu ni kupoint to musllim this Muslim that as if nyie ni ma genius fulani. lakini mwisho wa siku sisi wote ni maskini na Tanzania inazidi kudidimia kiuchumi. halafu bibie I don't speak for anyone here, na kibaya zaidi kama huwezi kuona Udini then wewe una matatizo. why is it so special what Mkapa wrote against Muslims..

Labda nirudi nyuma kidogo ktk historia.. zamani ilikuwa hakuna mabucha ya nguruwe, wakristu wakaomba wakapewa..Ni sheria kupasisha watu wa dini moja kula nguruwe ambao mimi sioni tatizo hata kidogo lakini wasiombe waislaam kwa lolote ni tatizo kwa wakristu.. it's a problem ati ina influence watu wa dini nyingine. Tanzania ni member wa Jumuiya zote za Kikristu toka Red cross, YMCA, Mabenki, na taasisi zake nchi inafurika na mashirika ya dini lakini itakuwa ubaguzi kuikubali taasisi moja ya kiislaam. It's Ok serikali kuingia Muafaka na kanisa lakini ni makosa kuingia na chombo chochote cha kiislaam bila ridhaa ya wakristu. Haya kweli ni akili.. ndio maana mnafura Mkapa alivyowajibu waislaam!.. I mean, kuwajibu waislaam? - where does it leave you!

Udini gani zaidi wa CCM ambao mnataka tuuzungumze!..Viongozi wa CCM siku zote wamekuwa wakiwakandamiza waislaam na hili halina Ubishi. Ndio maana mwanakjiji aliwahi kuuliza toka lini CCM wamekuwa marafiki na waislaam..

So where did I say all that ?!

I know those hospitals zinazofunga MoU ni Govt Designated hospitals, pale ambapo serikali haijajenga basi yenye hadhi private inachukuliwa na kupewa misaada kama ambavyo wangehudumia za serikali mradi huduma inatoka kwa kiwango cha serikali

Sasa just don't say kwa povu jiiingi, I said I voted for Lipumba bcoz I had faith in him @ that time, never mentioned udini, na ndio maana ktk hasira zako usiingize kile mtu, wadini hapa JF utawajua mapovu yanapowatoka for very simple things

ukiwauliza leo waislamu waliotoa tamko hilo hasa kuhusu serikali, watakuambia wako nayo bega kwa bega just because rais na makamu wake ni waislamu, na rais ajaye kama atakuwa mkristo watabadili mtazamo na kuwa dissidents wa serikali-huu ni ukigeugeu wa aina hii ya waislamu na tunawajua! kuhusu barua ya Mkapa pamoja na kwamba katika uongozi wake kuna mambo mengi yalinikera-amejibu barua kwa hekima na weledi wa hali ya juu hasa ukizingatia kundi la waislamu waliomuandikia barua walitaka kumuingiza mkenge rais na wananchi kwa ujumla katika kutuaminisha eti kuna mfumo rasmi wa ubaguzi dhidi ya waislamu! walitaka tuamini kuwa serikali,bunge na mahakama wana mfumo wa kubagua waislamu which is a total lie! these people are just suffering from inferiority complex, imagine hata leo hii ambapo viongozi wa juu wa kiserikali ni waislamu lakini bado kuna malalamiko kuwa serikali ina mfumo kristo, inashangaza sana! jamani watu wenye mawazo kama haya please abandon it! you are wasting time obsessing with something that does not exist, i honestly feel pity for people with such belief=(not religious faith).
Sasa hii ya ukiwauliza waislaam hao leo hii watakwambia wako bega kwa bega na serikali hii umeipata wapi? kwa nini usiwaulize ila unakisia tu kwa sababu ya imani yako ya dini.. Na labda nifunge mjadala.

Hivi leo hii mimi nikiandika habari yenye kichwa cha kisifia jinsi JK alivyowajibu Mapadre! unafikri lengo langu kuandika mada hiyo ni ipi?.. Bila shaka kuonyesha jinsi Mapadre walivyokuwa wajinga na kumsifia JK..Hali kama hii huwezi kuiona kutoka upande huu kwa sababu Udini mnauchochea wenyewe na wepesi sana kuwasema Waislaam ambao kosa walofanya kulingana na matazamo wa wakristu - Ni kuomba vitu ambavyo waliona ni haki yao ya kiibada.

Yes, amejibu barua kwa hekima na weledi kwa sababu wewe ni mktristu lakini kama angezuia mabucha ya nguruwe, benki na Ngos za kikristu kama alivyozuia za kiislaam usingesema kajibu kwa weledi maanake kazuia huku na kuandika maandishi mengi ya kutopendelea dini moja lakini matendo yake kapendelea upande mwingine. na simlaumu Mkapa hata kidogo kwa sababu anajua ibada za kikristu hivyo ni rahisi yeye kuzikubali lakini hajui ibada za kiislaam ni rahisi kuzi crash bila kutazama record ya matendo yake!

So where did I say all that ?!

I know those hospitals zinazofunga MoU ni Govt Designated hospitals, pale ambapo serikali haijajenga basi yenye hadhi private inachukuliwa na kupewa misaada kama ambavyo wangehudumia za serikali mradi huduma inatoka kwa kiwango cha serikali

Sasa just don't say kwa povu jiiingi, I said I voted for Lipumba bcoz I had faith in him @ that time, never mentioned udini, na ndio maana ktk hasira zako usiingize kile mtu, wadini hapa JF utawajua mapovu yanapowatoka for very simple things
Bibie nitoke povu mimi au wewe maaana nakuona waanza kulowana..Easy!
Umesema ulimpigia kura Lipumba meaning hukuwa na imani na Mkapa na ndicho nilichosema mimi kwamba waislaam walikuwa hawana imani na serikali ya Mkapa pamoja na bunge lakei hivyo barua yake ilikuwa imetanguliwa majibu ya hasira ya kutoaminiwa na Waislaam. Kwa ujeuri ambao tunajua Mkapa anao aliweza kuandika majibu ya hasira ya kutotambuliwa pasipo kupima matendo yake mwenyewe ktk Ukristu ambako aliruhusu mambo kibao...
Penda usipende ndio ukweli na kama yakuuma kanywe maji utapoza koo bibie!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom