kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 590
- 1,467
Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru.
Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na mifumo ya kumfunga mhusika kwani raia hatwendi mahakamani kwa kuogopa usumbufu usio na faida.
Na hii inapelekea matapeli wengi kurudi mtaani na kuendelea na kazi.
Pia polisi wenyewe wanachukulia kesi ni mtaji, wao ndio wanakuwa madalali wa mazungumzo pande zote 2 hasa kwa tapeli wakiamini wakimsaidia kumtoa watapata chichote kitu.
huyu ni mmoja wa matapeli ambaye ana historia ya kukamatwa na kuachiwa kwa kuhonga.