Jina zuri la mtoto wa kike

Habari wakuu

Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.

Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.

Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana

Karibuni
Dah mkuu kumbe una kibendi hongera sana.
 
Kwetu kila jina na maana yake, ukisikia mjuni hata kamus haihusik, utasika omukama mjuni=Mungu ni muokoz, sasa nomino zenu mmmmh
 
Namrath
Hurath
Lisalat
Zaudiat
Sabuat
Faidhat
Aishat
Eishat
Ruyat
Shakirat
Fashirat
 
Sa umejuaje kama ni wakike mlishamchek??!
Siku hizi ni rahisi sana mkuu mahondaw

yani mnaweza kukubaliana namwenza wako kuwa tuapenda tupate mtoto jinsia fulani na mipango ikaenda sawa

na kuwa na uhakika wa jinsia hilo mnaweza kujua mtoto akiwa tumboni kupitia kwa madaktari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom