Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe.

So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita kwa jina gani la utani?
 
FANYA HAYA KWA MUME WAKO.
1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na
hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.
5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na
mbusu pale
anapokusamehe.
6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.
7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu
kwenda kuwasalimia
wazazi wake na kuwapelekea chochote.
Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.
9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee
chakula chake.
10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.
11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake.
Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.
12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.
13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka 14. Muamshe
asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.
15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia
muafaka ya kufikisha ujumbe wako.
16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.
17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.
18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako. 19. Kumbuka
kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.
20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate
wapenzi wenye mapenzi ya
kweli leo na daima.
 
Mpenzi wangu ni mchanganyiko wa somalia(baba) na pemba(mama) na alikuwa yuko vizuri kila idara.
nlikuwa namuita mkimbizi.
 
Back
Top Bottom