Jimbo la Ubungo kuweni macho na huyo Kubenea

Wananchi wa ubungo wamepata shida miaka yote walikuwa wakimtegemea Mnyika, kawakimbia bila hata kutatua kero za wananchi. Leo hi unadhani wananchi wanataka kurudia upuuzi huo.

Kwa hiyo masaburi ndo atafanya nn kwa mfano?
 
Nimeambiwa ukawa yetu ubungo ina wagombea wawili. Chadema na cuf! Mtuambieni wanajimbo huko who is who?
Mwaka huu tumefanya mauzauza balaa. Angalia majimbo zaidi ya 50 yana mgogoro wa wawania ubunge. Hasa hasa kati ya chadema na cuf na kidooogo nccr. Wananchi hatuelewi hivi dhumuni kuu la chadema ni kuua vyama vingine au? ?
Kwa ustawi mzuri wa taifa na afya ya vyama kila chama kina umuhimu wake katika nchi na ndio maana kikaanzishwa na kusajiliwa.
Tujitafakari na kujitambua
 
Kura yangu ni kwa Kubenea tu,hizi porojo hazina nafasi kwangu.
 
Jf,

Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.

Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?

Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?

Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.

Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.

Njoo utetee Upuuzi hapa
 
Labda angekuwa kamanda mwingine au angebaki Mnyika tu kuliko hili tapeli. Halina hata sera kichwani uongo mtupu. Sijui kwa nini nilikua nanunua Gazeti la Mwanahalisi najutaaaa

Njoo uthibitishe ujinga wako
 
Ila UNAFIKI Unalipa asee!Kubenea kaula.Ubungo tusubiri kuishi kwa raaaha kama peponi Kubenea mwisho wa shida.Tunajitambuaaaa
 
Tanzania imeingiliwa na wanasiasa
uchwara ambao kiukweli
wanataka kuwapoteza
wananchi bila huruma.
Hivi ********
wetu wa ccm ni
kweli kabisa unataka
ubunge au unatania.
 
Jf,

Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.

Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?

Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?

Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.

Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.
mkishika dola si ndio mtatoana macho!
 
Chadema wangetuletea mgombea wa maana tungewaelewa, mnatuletea mpemba? peleka wawi huyo lakini sio ubungo. Ubungo watu wote wanajielewa kasoro hao wa barabarani. Piga chini mpemba huyo. ubungo sio sehemu ya makapi

sawa mkuu umeulizwa wewe ni ACT au CCM; jipambanue ili watu waelewe wanaongea na mtu wa mlemgo upi??
 
Wananchi wa ubungo wamepata shida miaka yote walikuwa wakimtegemea Mnyika, kawakimbia bila hata kutatua kero za wananchi. Leo hi unadhani wananchi wanataka kurudia upuuzi huo.
Huo upuuzi wameshaurudia kwa kumchagua kubenea yaani wananchi hawajielewi. Kama chadema inatatua kero za wananchi kwa nii mnyika akimbie jimbo. Mtu aliefanya vizuri kwenye jimbo lake hawezi kukimbia jimbo.
 
Jf,

Jimbo la Ubungo limeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao kiukweli wanataka kuwapoteza wananchi bila huruma. Hivi kubenea mgombea wetu wa CHADEMA ni kweli kabisa unataka ubunge au unatania.

Ulisema kwa wananchi kuwa una ushahidi wa maufisadi ya Lowassa na Sumaye tangu mwaka 2008. Huo ushahidi umeuchoma moto au?

Je, leo umeamua kujiunga nao kwa roho moja na dhati ya moyo kabisa au unatafuta fursa tu ya ajira na maposho ya bungeni?

Je, wewe unataka kuwafanyia kazi wananchi kwa uwazi na uaminifu kabisa au unataka kufanya usanii.

Je, mbona hujamjibu Dr Slaa chochote alivyokushutumu kuwa baada ya kupewa hela na mafisadi ukaamua kuufyata mdomo.

Wanaubungo tumeamua wenyewe Kubenea Mbunge wetu.

Kauli ya masabari kuwa Wabunge wa Dar wanafikiria kupitia ............ bado tunaikumbuka,

Viva UKAWA, VIVA UBUNGO
 
Labda angekuwa kamanda mwingine au angebaki Mnyika tu kuliko hili tapeli. Halina hata sera kichwani uongo mtupu. Sijui kwa nini nilikua nanunua Gazeti la Mwanahalisi najutaaaa

Pole sana kwa zahama iliyowakuta
 
Back
Top Bottom