Jimbo la Mbeya Mjini likigawanywa linaweza kuwa Upande mmoja Sugu na Upande wa pili Mwabukusi badala ya Dkt. Tulia na Mwamposa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Siasa za Mbeya Mjini zimebadilika kwa ghafla sana na hata ule mkakati wa kugawa Jimbo unaweza kuinufaisha CHADEMA zaidi

Natoa tu angalizo kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa aliyekemewa hadharani juzikati

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😂
 
Siasa za Mbeya Mjini zimebadilika kwa ghafla sana na hata ule mkakati wa kugawa Jimbo unaweza kuinufaisha Chadema zaidi

Natoa tu angalizo kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa aliyekemewa Hadharani juzikati

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😂
Tulia ndiye alimchonganishabyule Mwenyekiti kwa makamu wa rais, ambapo Makamu wa rais badala ya kusikia hoja nzuri alizokuwa akiwakilisha, yeye akawa anamsubiri amalize ili amjibu kumfurahisha Tulia.
 
20230810_105032.jpg
 
Siasa za Mbeya Mjini zimebadilika kwa ghafla sana na hata ule mkakati wa kugawa Jimbo unaweza kuinufaisha CHADEMA zaidi

Natoa tu angalizo kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa aliyekemewa hadharani juzikati

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😂
Hivi zile posho zenu za July zimeshatoka? kawaida huwa mnalipwa kabla ya tarehe 15. Hongera sn
 
Tulia ndiye alimchonganishabyule Mwenyekiti kwa makamu wa rais, ambapo Makamu wa rais badala ya kusikia hoja nzuri alizokuwa akiwakilisha, yeye akawa anamsubiri amalize ili amjibu kumfurahisha Tulia.
Huyu naye hana mvuto kabisa wa kisiasa na ni mtu ambaye hawezi kujenga hoja yoyote ikakubalika ni upepo wa kisulisuli tu unambemba + bahati
 
Siasa za Mbeya Mjini zimebadilika kwa ghafla sana na hata ule mkakati wa kugawa Jimbo unaweza kuinufaisha CHADEMA zaidi

Natoa tu angalizo kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa aliyekemewa hadharani juzikati

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😂
Sugu hawezi Kushinda ubunge Mbeya msijichoshe Bure.
 
Huyu dada anajitahidi saana kuifanyia vingi jamii lakini havumi,wanamsahau haraka mnoo tatizo nini.
Tulia Marasoni
Tulia trust
Na zingine lakini wapii anafutoka mapema mnoo
 
Back
Top Bottom