Kuna jimama moja lilikuwa linapenda sana vitoto vidogo hata vile vinavyocheza barabarani. wazazi wa wale watoto wakaona jimama linawaharibu vitoto vya wakamuwekea kikao na kumwambia kama hawezi kuacha mchezo wake basi ahame mtaa. lile jimama likaamuwa kuwacha hiyo tabia kuliko kuhama mtaa. katika pitapita yake siku moja akaona bonge la mtu limejazia linashusha magunia kwenye gari akajiambia nikilipata hili mtaani watabana ******. akalifuata na kumwambia ana kazi nyumbani jamaa akakubali na kuelekea naye home.
Walipofika hm jimama likamwambia kazi yake inahitaji usafi jamaa likaingizwa chooni likaoga,lilpotoka mazungumzo yakaanza
Jimama: baada ya kazi unapendelea nn
Jibaba: napenda nipate bia mbili za moto
Jimama likaleta bia 4 mbili yeye mbili jamaa.wakamaliza jimama liakauliza
Jimama:ukishakunywa bia mbili wapendelea nn
Jibaba:nipate nyama ya kuchoma, wakala wakamaliza
Jimama; ukishakula nyama ya kuchoma unapendelea nini
Jibaba; nipate mzinga wa konyagi, mama akajuwa shughuli karibia inaanza
akaleta chupa mbili za konyagi wakanywa zikaisha,wote wakawa wameishaanza kulewa
Jimama; ukishakunywa konyagi wapendelea nn
Jibaba;nipate bia moja ya kusuuzia,zikaletwa mbili wakanywa wakamaliza ndo wamezidi kulewa
Jimaa; ukishasuuza unapendelea nini
Jibaba: sasa nataka nipate mtu anifireeeeee
Du kumbe jamaa jishoga