Jimama la KIZUNGU

If I am to think deeply into this romance and eventual relocation of the lady....I think it has lot to do with s*x........I think the man "put it down" on her.......that's why she's hooked....lol
 
Mahenge ina umeme wa Grid ya taifa,wahindi wapo familia nne, Kwiro bado ipo haina vurugu tena baada ya vurugugu zetu za mwaka 94, waarabu familia tano, uwanja wa mapinduzi umegeuka eneo la malisho ya ngombe, madini yaliisha kitambo, pembe za ndovu zipo,japo si dili sana. karibu tena MAHENGE, TUKUTANE VIGOI,nAWENGE


Mkuu shukrani sana, tuje tukutane ku-liboma, au kwa mzee Kwilanga, au?

Vipi yule mzee Sabuni aliyekua anatulimisha wananfunzi usiku kwa mazingaombwe, shamba lake la miwa bado yupo?
 
Nimeiangalia ile picha tena ya Mzee Amri. Rafiki yangu mmoja London kanitonya kuwa ni
Dennis Amri, jamaa tuliwahi kukata mitaa kule Magomeni Mikumi. For that reason nitahakikisha namtembea mate wangu wa zamani kuona anaendelezaje libeneke ya mapenzi ya kisasa kijijini Mahenge. Kwi!kwi!kwi!
 
Huyo mzee inawezekana ni mkali wa ile sayansi yetu ya kiafrika, kule Mahenge ipo kwa sana tu, na wale waliokuwa wanaitumia vibaya walikuwa wanapelekwa Kiberege kwa Bibi Kalembwani kuumbuliwa. Kwa jinsi mzee alivyoitumia kuleta jimama la kulichuna, nadhani hata bibi Kalembwani angekuwapo leo angemtumia salamu za pongezi. Ni wakali hao jamaa, usiwachezee!
 
Nimeiangalia ile picha tena ya Mzee Amri. Rafiki yangu mmoja London kanitonya kuwa ni
Dennis Amri, jamaa tuliwahi kukata mitaa kule Magomeni Mikumi. For that reason nitahakikisha namtembea mate wangu wa zamani kuona anaendelezaje libeneke ya mapenzi ya kisasa kijijini Mahenge. Kwi!kwi!kwi![/
QUOTE]

Mkuu Jasusi,

Huju jamaa siyo mtu wakuishi mahenge kwenye nyuma ya nyasi, choo cha shimo chakulenga, wala kupikia msosi kutumia kuni.

Huyu jamaa mimi ninamfahamu, nilikuwa nakutana nae mara nyingi pale dar es salaam katika bar ya wenye nazo enzi zile iliyokuwa namanga ilikuwa ikijulikana kama KIMICHO, mambo yake yalikuwa safi..i can even break it down kidogo jamaa alikuwa anapenda kinjwaji chake, embassy king na vilevile ni mchezaji mzuri sana wa poor(snooker), nakumbuka enzi zile alikuwa anakuja na gari yake ya musso na q-stick yake ya pool, mama hajakosea jamaa lugha ya malkia anaifahamu na ukimchunguza zaidi utagundua ni miongoni mwa wale wazee wajanja wa zamani, au kwa sasa waweza mwita mzee kijana.
Ukiangalia picha aliyopiga pamoja na huyo mama wa kizungu, nyuma yake utaona fence ya nyumba hiyo nyumba siyo ile inayozungumziwa na mwandishi wa makala haya, kuna mambo makubwa yamekosewa humu kwenya makala.
Huyu bwana ni mfanyabiashara na anaishi dar na mambo yake si haba.
Lakini sijui kama ni mwenyeji wa mahenge ya moro au iringa.


Ni hayo tu.
 
Mimi siwashangai hawa wazungu! inaweza ikawa amewaza kuja kuanzisha kitega uchumi huku kwetu, akatumia gear ya mwanaume kuhamia hapa kwetu! sio mabaya....tusubiri matokeo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom