Jiko dogo la gesi linauzwa

Status
Not open for further replies.

newbie

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
216
48
........................LIMEUZWA.............

mods delete this post please, jiko limepata mteja
cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
sio la dili asee, kwani unanunua na kuliuza, kwanini ununue kitu bila malengo nacho? any way kufikia next week kama halijauzwa ni pm
 
sio la dili asee, kwani unanunua na kuliuza, kwanini ununue kitu bila malengo nacho? any way kufikia next week kama halijauzwa ni pm
Kwa uaminifu unaweza kuja kulichukua ndani kwangu kabisa, nina shida kidogo na pia nategemea kusafiri soon.
 
Limenunuliwa mwezi uliopita tu, huwa linatumika mara chache sana hivyo bado gesi ipo nyingi. Limenunuliwa 90,000 na linauzwa 70,000 punguzo litakuwepo kwa atakayenunua leo. Linapatikana Kigamboni

uko mbali ningekupa hela kama ungekuwa maeneo ya ukonga
 
sio la dili asee, kwani unanunua na kuliuza, kwanini ununue kitu bila malengo nacho? any way kufikia next week kama halijauzwa ni pm

Kuna malengo ya muda mfupi, muda wa kati, na muda mrefu. Alinunua kwa malengo ya muda mfupi na ameshatimiza malengo yake.
 
Limenunuliwa mwezi uliopita tu, huwa linatumika mara chache sana hivyo bado gesi ipo nyingi. Limenunuliwa 90,000 na linauzwa 70,000 punguzo litakuwepo kwa atakayenunua leo. Linapatikana Kigamboni

bado lipo.

0789776668 ndio nipo njiani picha hadi nifike ghetto.

nyie mapacha?...*wink*
id mbili zote za nini? moja ya kutukana na nyngine ya kuwa serious?!!!...lazima ujichanganye.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom