Jiji la DSM linakua/panuka lakini hakuna mikakati na mipango maalumu

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,148
7,724
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 Jiji la DSM ndio liliongoza kuwa na wakazi wengi katika mikoa ya Tanzania, ilikadiriwa kuwa na watu zaidi ya milioni tano.

Jiji la dsm ni jiji linalo kuwa kwa kasi kila uchao, vinga vya jiji ndio kunako ongezeka makazi mapya, hvyo ni muhimu sasa kwa maafisa wa mipango miji wakaelekeza utaalanu wao kwenye viunga vya pembezoni mwa Jiji ili kuliweka jiji katika muonekano wa Jiji la kimataifa.

Jiji la DSM sio kariakoo tu au masaki, ostabey, mwenge, bali viunga vya pembezoni mwa Jiji ndio vinapaswa viboreshwe ili Jiji lipanuke/likuwe kwa ubora wake.

Maafisa mipango miji wa Jiji la dsm wanapaswa watumie taaluma zao ili kuboresha Jiji.

Maafisa mipango miji wakishirikiana na wataalamu wengine naamini Jiji litapangika vizuri na pia migogoro ya ardhi itakwisha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom