Beginning
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 879
- 2,361
1. Tukianza na stendi ya mkoa ni aibu tupu haifai kuitwa stendi ya jiji linalosifiwa na wengi kuwa ni Geneva ya afrika.
2. Masoko, Mfano soko la kilombero, soko la samunge, soko kuu na soko mjinga ndugu zangu ukifika maeneo haya unaweza kudhan umevamia kambi za wakimbiz huko yemen & Afghanistan ni aibu tu.
3. Kwa masikitiko zaidi jiji hili linazidiwa hadi na baadhi ya manispaa changa kabisa kwenye miundombinu hii.
4. Swali, Pesa za halmashaur ya jiji zinaenda wapi? Jiji limesimama kwenye miundombinu ya kijamii kwa muda mrefu sasa,Sekta binafs ndo zinalibeba jiji hili kwa sasa.
5. Uongozi, Ndani ya jiji hili kila kiongoz anaajenda zake mkuu wa wilaya haelewek,mbunge haelewek,mkurugenz wa jiji haelewek yaan uongoz ndan ya jiji ni zero
6. Ushauri, Serikali kuu ilitazame hili jiji kwa jicho la tatu mambo mengi ni ovyo.
Mwisho jiji hili likiweza kuendana na kasi kama ya jiji la Dar & Dodoma litachangia pakubwa sana kwenye maendeleo ya Tanzania.
Na declare interest mimi ni mkaz wa jiji hili kwa miaka 15 sasa kwa hiyo nimeandika ninachokijua.
Nanatumaini hili litafanyiwa kazi kwasababu najua viongoz wengi mpo hapa jamiiforum.