Hili gari ninahusika sana na upolaji wa mikoba maeneo ya kariakoo na mnazi mmoja hasa kwa wale wanaopitia barabara ya uhuru. mimi mwezi wa pili walitaka kunipora begi langu wakidhani ni laptop kumbe kulikuwa nakaratasi hata vivyo hawakufanikiwa ila waliniburuza kama mita 30 hivi na mpaka leo nauguza mguu wangu wa kulia kwa vidonda. nilijaribu kupiga simu kwa kova, polisi na sehemu nyingine lakini hazina majibu hivyo nikwa mwashia mungu tu.