Jihadhari na wanaume Wasukuma weupe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,837
Wasukuma weupe wenye jinsia ya kiume ni magwiji wa utapeli hapa mjini Dar Es Salaam.
Kabla ya kufanya dili na Msukuma mweupe hakikisha unachukua kila tahadhari ili usitapeliwe
 
eeeeeeeeeeeh sasa tufanyeje?kila kitu kina kasoro zake my dear ukimchunguza bata hutamla
 
Mbuya???

AndrewChengeL_228x261.jpg
 
Wasukuma weupe wenye jinsia ya kiume ni magwiji wa utapeli hapa mjini Dar Es Salaam.
Kabla ya kufanya dili na Msukuma mweupe hakikisha unachukua kila tahadhari ili usitapeliwe

Sidhani kama ni kweli coz kuna matapeli NGOSHA hadi weusi. May b utuweke wazi utapeli upi unaosema???
 
Wasukuma weupe wenye jinsia ya kiume ni magwiji wa utapeli hapa mjini Dar Es Salaam.
Kabla ya kufanya dili na Msukuma mweupe hakikisha unachukua kila tahadhari ili usitapeliwe

Hii inaitwa "stereotyping" kwa kidhungu sijui kwa kiswahili inaitwaje. Huwezi kushutumu kabila au jumuia yote ya wasukuma kwa kitu kama hiki bila kuwa na ushahidi banah. Hii kitu sisi Great Thinkers huwa hatukubaliani nayo.
 
weeee usinikatishe tamaa wasukuma nawafagilia sana....
utapeli uko kwenye makabila yote....hata lako mkuu
 
:behindsofa: ACHA HIZOOOO!!!!!1 PIPO ZINALILIA KUOLEWA NA WASUKUMA WE UNA WADISSS, CIO ISHU KABISA....:hug:.....
 
Ndugu tupo wasukuma white kibao na tuu waaminifu, sasa sijui kama una uthibitisho wa kisayansi na sio wa kiimani kusimamia huo usem?
kama hauna jiandaye kwenda kujibu mashtaka mahakaman! tehe tehe!
 
Vigezo umezingatia kutoa hiyo thread au umelala umeamka na kutoa thread
 
We mdwanzi hakuna mwanaume wa ukweli na mwenye kufuata maadili kama msukuma haachi mke hovyo hapendi utapeli kama unavyodai c mwizimwizi hupenda kuchapa kazi tu anajua kukaa na watu etc huyo uliyekutana naye ni copy c original
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom